Captain George Mazula Afariki

suleimani

Member
Joined
Dec 9, 2006
Messages
43
Points
0

suleimani

Member
Joined Dec 9, 2006
43 0
Tunawapa pole wafiwa. Ushauri wangu is to take this matter spiritually. Life is eternal and eternity begins now when we are in our mortal bodies. Cheer up George's spirit has just moved into another realm but he is alive. I knew George tangu 1969 when he joined form 5 in tambaza then known as Agakhan secondary school. He was a nice person and quite frank on issues. We will miss him indeed. Inna Lilahi wa Inna ilahi rajiuun. Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen.
 

domokrasi

Member
Joined
Sep 27, 2006
Messages
36
Points
70

domokrasi

Member
Joined Sep 27, 2006
36 70
Ooh No!

I am at loss of words. I cannot find the right words to describe George, the cheerful person I liked and considered as my own older brother!

Indeed good people don't last long! They stay with us but only for a short while.

Adieu my brother, Rest In Peace.

Amen
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Points
1,195

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 1,195
R.I.P Captain.
This is hard for us here in Michigan to take in maana si m'da mrefu
tulimpoteza Walter and now this!...The Lord Giveth and The Lord taketh
away.Blessed be his holy name.Peace.​
 

Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
998
Points
195

Mwawado

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
998 195
Sina Lugha Nzuri ya Kumuelezea Marehemu George...Alikuwa mtu mcheshi,Mpenda watu na Mkweli...Poleni sana ndugu,Marafiki na Jamaa wa karibu wa Familia ya Mazula,Pole sana Mrs, Bro Deo,Richard,Bryan na George Jr. Ni wazi kuwa Mwenyezi Mungu atawapa nguvu za kupita kipindi hichi kigumu.Tupo kwenye sala pamoja nanyi.Amen...
 

Kevo

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2008
Messages
1,333
Points
0

Kevo

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2008
1,333 0
My Deepest Condolensces to Mrs Ramla Mazula,Joyce,Patricia,Anna,Christina,Piyo and Ben.
I Wish You a Safe Journey to DSM as You Go To Put Your Beloved One To Rest.
You Are In My Prayers.
 

Kiranja

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2007
Messages
754
Points
0

Kiranja

JF-Expert Member
Joined May 19, 2007
754 0
Captain nakukumbuka siku tulipokutana pale Club Ghymkana na tukaanza kukumbushana kuhusu uvaaji wa PEKOSI NA UNYOAJI WA NYWELE kizamani, Mungu na akulaze mahali pema peponi Amini.
 

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
5,029
Points
1,500

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
5,029 1,500
wanafamiliya poleni sana hiyo ni njia ya wote mbaya ukitangulia. Mungu ailaze Roho yake mahali pema Amina
Ni kweli ndugu yangu, tuwape pole wafiwa na tujipe pole wenyewe. Mara nyingi Mungu anawapenda wale tunaowapenda, watetezi wetu, wazalendo wenzetu, na walizni wetu ndio anaowachukua kwa sababu hao ndio wanafaa. lakini mafisadi na wezi wao wanaendelea kudunda.
Hapa ndio utakapojua kuwa Mungu ana akili sana, wale ambao hawatakiwi hapa duniani na yeye vilevile hawataki. Anaona ni vema wakaendelea kumsindikiza shetani hapa duniani.
 

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
44,194
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
44,194 2,000
Amekufa Na Pumu

Kama Mjuavyo Kaka Yake Deo Nae Anaumwa Mgongo Anasubiri Operesheni

Sad Newz Akiwa Anaoga Pumu Ikamzidi Aliekuwa Na Uwezo Wa Kumsaidia Ni Deo

Pekee Jamani Deo Alisikia Keelele Naomba Inhailer Yangu Akaanza Kuita Maana Hawezi Kutembea Mpaaka Asukumwe Na Mtu.....waliokuwepo Wazima Wako Nje George Akafa Anaita Inhaile Yangu Kwa Sauti Ya Upole Akaja Mfanyaakazi Akenda Kuichukua Na Kumpulizia Akiwa Uncon...wakiwa Njiani Kwenda Hospitali Ooooooooo The Lovely Capt George Mazula Mungu Alimuita

Tutengeneze Njia Zetu Tuwe Na Upendo Na Watoa Msaada Kama Mazula Mungu Akulipe Kama Ulivyokuwa Dunia

Pole Mkewe Jamani Huyu Mama Anitaji Maombi Sana

Mwaka Jana Kafiwa Na Mwanae--walter Mazula

Mwaka Huu-----mama Yake Mzazi

Mwaka Huu Tena---kaka Yake Mzazi Mwezi Wa Tano

Mwaka Huu Tena Mumewe Jamani Mungu We!!!!!

R.i.p George Mazula!!
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Points
1,195

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 1,195
Kwa wale mnaoweza, karibuni kwa kina Brian na George leo jioni ili tufanikishe
mchango wa kuwasaidia mabwana wadogo kusafiri bongo ili kuomboleza with
the rest of their family.Anuani hii hapa chini:

15416 Northville Forest Drive, Apt G 80
Plymouth, MI 48170​

Asanteni.
 

Forum statistics

Threads 1,378,752
Members 525,185
Posts 33,723,329
Top