...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Komba nenda India kafanyiwe upasuaji wa Hilo Tumbo kubwa wayatoe mafuta yote kisha wanyonye mafuta yote yaliyosambaa mwilini mwako hadi kwenye akili pengine Fahamu zitakurejea Maana yaelekea umejidekeza na Urafi wa kula kula hovyo hovyo,jichunguze utajitambua Unene wako umekuwa Janga mafuta yamekujaa hadi huna cha kuwaza zaidi ya Ngono Zembe tu.
 
komba alipeleka juisi kwa mpiga kura wake maeneo ya kinondoni... hiyo juisi labda ni juisi ya komba

kwikwikwikwikwikwikwiiiii

Komba alienda kutoa ahsante kwa mpiga kura wake huyu alikuwa sehemu ya wazi ndio Maana ameonekana,sasa jiulize kule Msituni kawashukuru wapiga wangapi?chezea komba wewe....
 
Nyie mnaowashambulia wenzenu hamfanyi haya mambo kweli?
kwanini umfate mtu chumbani kwenye faragha umpige picha? Hizi picha tunazozisambaza zinasaidia vipi kuhifadhi maadili yetu? Tunawafundisha nini watoto wetu?
 
ni upuuzi wa hali ya juu kujadili mambo ya mahusiano. Thats PRIVACY
 

Jamani mnaomfahamu Makarabai, sorry, Machemli hivi ana mke kweli! maana najaribu kuvuta fikra kama ana familia (mke na watoto) hivi zile picha wanazitazamaje na wanajickiaje hata wanapopita mbele za watu wanaojuana!
 

Hii haihitaji forensic investigators ... Komba ni mzinzi na anajulikana kwa kusambaza magonjwa ya ngono...
 
Waungwana Salam,

Nayaona makosa mawili hapa.

  1. Komba kujihusisha na mapenzi nje ya ndoa, ikiwa alijihusisha maana sinauhakika wala sina utaalam wa kujua
  2. Kosa la jamii kuendelea kujadili na kuikuza aibu ya mwenzetu. Haitusaidii, haitubadilishi na haitufanyi sisi kuwa watakatifu kuliko yeye
Hivi ni nani kati yetu aliyemsafi kiasi cha kumsema na kumkejeli mwanaume huyu?? Kweli dhambi haina maana! zile kasoro tunazozitenda kwa siri hatupendi kuona wengine wakizitenda.

Mzee Komba pole sana Bwana. Kadhambi haka balaaa! Tujitahidi kukakwepa. Najua inawezekana.
 

U are very right Mkuu....hilo ni swali na mimi nilikuwa najiuliza...Lakini ukijua huyo muulizaji anaitwa Simalenga no nani???basi huwezi patwa name shida
 

Lakini hapa Komba alijibu kama ifuatavyo
" Nimesikitishwa sana na kitendo cha binti aliye weka picha yake ikionyesha maziwa nje na nyingine nikiwa nimepiga nae. Binti huyo ni mpiga kura Wangu na alikua anaumwa nikaona nikamsalimie kwakua nafahamiana nae na ni kama mtoto Wangu. Nilipofika nilimkuta amevaa kanga nikampa juice na matunda niliyompelekea na fedha taslimu. Alishukuru sana akaomba kupiga picha nami, basi akasogea karibu akapiga picha. Kumbe alishapiga nyingine ikiwa inaonyesha maziwa. Ninafaham kuna watu wamemtumia ili kunichafua na kuchafua chama. Hongereni lakin ukweli ni huo"

 
...loh jibaba limenasa halichomoki,ccm bhana...
 
Jamani mnaomfahamu Makarabai, sorry, Machemli hivi ana mke kweli! maana najaribu kuvuta fikra kama ana familia (mke na watoto) hivi zile picha wanazitazamaje na wanajickiaje hata wanapopita mbele za watu wanaojuana!

Familia yake ipo morogoro huko huku anakula wake za watu na ma bar maid tu,,, anajeur ya pesa huyo engneer makarabai askwambie mtu, na ushnd wake kwa wasiojua aliupata baada ya CCM kumpitisha Mama Mongera kugombea tena jimbo lile ilhal waru walshamchoka ndo option B ikawa n kumpa huyu jamaaa bt hata CDM wangesimamisha kuku ingechukua kwa tym ile bt sasa Machemli kawazngua wakerewe, wajita na wakara harud tena Dodoma. Ova


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Nyie mnaowashambulia wenzenu hamfanyi haya mambo kweli?
kwanini umfate mtu chumbani kwenye faragha umpige picha? Hizi picha tunazozisambaza zinasaidia vipi kuhifadhi maadili yetu? Tunawafundisha nini watoto wetu?
Kuwa faragha si Kigezo cha kuendekeza Michepuko nje ya ndoa , kwani wameleta picha za komba na mke wake wa ndoa? Tambua maadili Tanzania yalishapotea ndio Maana Vijana wanavaa nguo chini ya Ma.ta.ko wengine nguo za ndani ni chafu hakuna Kiongozi wala Mbunge hata wa Ukawa amewahi kulisemea hili.kumbuka Komba ni kioo cha jamii anapaswa kuishi kwa mfano bora si kuishi kwa kucopy ya wazinzi wa mitaani.
 

mkuu lakini ukitazama picha ya kwanza ni kwamba komba na huyo dada wanamtazama mpiga picha kwa maana kulikuwa na mtu wa tatu na kama sio basi hizo picha ni za kuunga hata kwa njinsi walivyo laliana hapo mbele
 

Sasa huon kuwa ww ndo umekengeuka? Ukiweka picha ya Komba alioonekana na ya machemli ni picha gan utapigwa ban humu ndan? Obviosly n ya machemli coz wote wapo naked, akil huna ndio coz huwez tetea picha ya kutengenezwa paspo mjua mhuska mkuuu, komba yupo na tshirt lake na hlo ndo kosa huyu mtu mliemnunua amchafue alpowaangushen,,, poor u na thinkn capacty yako


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…