...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
IMG-20140607-WA0034.jpg

IMG-20140607-WA0035.jpg

Nawasilisha!!
 
sasa mgonjwa mbona baadae katoa kanga kabaki manyonyo wazi!

Ah eti manyonyo yalishtuka kumuona mbunge kamletea juice mpiga kura wake ikaanguka chini binti akatabasamu kwa aibu,Komba kuona hivyo nae suruali ikashtuka na kuvuka ila tisheti ikabaki maana Mzee tumbo ni kuubwa hadi siku hizi anatembea na toroli la kubebea na kusukumia Kitambi akishuka kwenye gari!!

Na huo ndio utetezi mpya wa mbunge yule mwenye jina la mnyama anaesifika kulewa mnazi na kugegeda vipochi manyoya hadi vya paka!!!
 
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?
 
Komba kwa hili hana pakutokea anapaswa kwenda msituni ili kuwajua ni akina nani walimwona akiwa na vidocho hao.
 
Shark,kwani sharti ambalo ulinunua miaka 10 iliyopita hadi leo unalo? Na unaendelea kulivaa? Maana kuna picha kuwa ili pgwa mwaka 2004
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom