Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika
Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration
Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama vile wanafunzi ,waafanyakazi wa mda na wengine wengi ili awe anawakata kodi nyingi
Wahindi wakapata fursa kupitia system hiyo waakanza kujazana wanakuja kwa lengo la kusoma wakifika uku wanafanya kazi kwa wingi wanakusanya pesa wanaomba resident permenant ( yaani kadi ya mkaaji wa kudumu canada ) wakifanikiwa ilo wanakusanya pesa wakaanza kuita wenzao wengi kutoka india wengine wakaanza kununua appartement nakuanza kukodisha
Wahindi wakajazana Toronto, Ottawa, Vancouver, Calgary, na mikoa mingine ya wangereza jobs nyingi wakachukuwa wao kama vile walmart, restaurants, na kazi nyingi
Ukienda Ontario ni wao tu ndo wamejaa katika vitengo mbali mbali
Katika city ya Brampton ni wao tu ndo wamejaa
Canada ya sasa ni india ya badae ukiwa naishi uku chuma chako ondoka kwenu kupata kazi au nyumba nchini Canada ya sasa ni sawa na kusubiri embe chini ya mpapai
Kwahiyo hata kuwatumia nyumbani 1000$ ni mtiti?Kupata pesa Canada ya sasa imekuwa shida
Unajua ujinga wawaziri wa Canada ni nini alikaribisha immigration alafu akashindwa kujua hakuna sehemu ya kuwaweka na kazi za kuwapatia katika city ya Toronto watu wanaishi ndani ya tante barabarani mauaji kibao uporaji kibao icho ndicho wanacholalamikia wazawaHaina shida so long as wanaleta maendeleo kwenye nchi waliyopo
Dunia imebadilika sana huwezi tegemea wazawa pekee kuleta changes waingereza wamempa mnigeria conservative sio wajinga
Inatakiwa sasa nianze kuangalia Tamthilia za India π€£π€£π€£ndo maana kila tamthilia ya India ikifika sehem mwigizaji yupo abroad basi anakua Canada ππΎππΎ
zipo Starplus. starlife. Sony Max. colors kedekedeInatakiwa sasa nianze kuangalia Tamthilia za India π€£π€£π€£
Tupe maelekezo tunakujaje huko kama kuna vyuo vya kutupa scholarship tuambie tuje .Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika
Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015
- mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration.
Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama vile wanafunzi waafanyakazi wa mda na wengine wengi ili awe anawakata kodi nyingi
Wahindi wakapata fursa kupitia system hiyo waakanza kujazana wanakuja kwa lengo la kusoma wakifika uku wanafanya kazi kwa wingi wanakusanya pesa wanaomba resident permenant (Yaani kadi ya mkaaji wa kudumu canada) wakifanikiwa ilo wanakusanya pesa wakaanza kuita wenzao wengi kutoka india wengine wakaanza kununua appartement nakuanza kukodisha
Wahindi wakajazana Toronto, Ottawa, Vancouver, Calgary, na mikoa mingine ya wangereza jobs nyingi wakachukuwa wao kama vile walmart, restaurants, na kazi nyingi.
Ukienda Ontario ni wao tu ndo wamejaa katika vitengo mbali mbali.
Katika city ya Brampton ni wao tu ndo wamejaa.
Canada ya sasa ni india ya badae ukiwa naishi uku chuma chako ondoka kwenu kupata kazi au nyumba nchini Canada ya sasa ni sawa na kusubiri embe chini ya mpapai
Hii miji miwili Scarborough na Etobicoke nje ya Toronto yani ni ya wahindi wako million moja.Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika