Can you judge this? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can you judge this?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Apr 27, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  (a)JOHN alipoulizwa kuhusu JAMES alijibu,"JAMES ni mtu mkweli daima". (b)JAMES alipoulizwa kuhusu JOHN alijibu,"JOHN ni mtu mwongo daima. Hebu toa hukumu,kati ya JAMES na JOHN nani mkweli na nani ni mwongo?
   
 2. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wote ni waongo
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kama wote ni waongo basi vice versa is true,JAMES si mkweli kama alivyosema JOHN na JOHN si mwongo kama alivyosema JAMES.Then kwa mujibu wa jibu lako JAMES ni mkweli na JOHN ni mwongo!
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  This riddle comprises paradoxical sentences which are contradicting each other,therefore you can't judge this riddle.
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wote wasanii
   
 6. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Kwanza nani aliyekua anawauliza!?
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  mkweli hapo ni mimi tu!
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Assume ni wewe!
   
 9. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja ni mkweli na mwongo kwa nafsi yake.
   
 10. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu,huwezi kuwa mwongo daima na mkweli daima kwa wakati moja.
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,799
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wote wapo sahihi kwa kusema ukweli. John asingeweza kusema mazuri ili adanganye kuhusu James na tabia ya James kutokana na maelezo ya John atakua amesema ukweli.

  Wee jamaa na changamoto zako aiseee...mara hisabati mara sijui John na James sasa sijui unaleta lipi tena?? ccm ni chama cha mapinduzi na chadema ni chama cha demokrasia, kipi chama kinachojali wananchi?? Jibu sasa na wewe.
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata kuku wanajua jibu ni CHADEMA!
   
 13. h

  heriedo Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inategemea swali limeulizwa na nani na kwa madhumuni gani, inawezekana wote wakawa wakweli.
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jibu lake linategemea wewe ni shabiki wa chama gani...! CHADEMA, CCM au CUF?
   
 15. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hapo kuna ukweli mkubwa sana uliojificha ndani ya uongo.
   
 16. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ....and it is beyond the human thinking scope!
   
Loading...