Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Kwa sasa ni ngumu kuona ila nahisi Suleiman Jaffo ana nafasi ya kuwa mkubwa zaidi ya alivyo sasa.
 
Mwenye Enzi Mungu yuko upande wetu, chaguo lolote litatoka kwake ili Tanzania nchi yetu izidi kubarikiwa walahi
Believe me walahi
 
Mwenye Enzi Mungu yuko upande wetu, chaguo lolote litatoka kwake ili Tanzania nchi yetu izidi kubarikiwa walahi
Believe me walahi
hilo neno wallahi nani kakufundisha!? maana ni kama kiunganishi kwako
 
Ukiniuliza baada ya Magufuli naweza kusema
Ccm itakuwa na any of these;
Hussein Mwinyi
William Lukuvi
Majaliwa Kassim
Suilemani Jaffo

Upinzani namuona
Zitto Zuberi Kabwe chini ya mwamvuli wa upinzani
Kama ma CCM yataendelea ,Rais atakuwa Augustine Mahiga
na Upinzani itakuwa Lissu
 
I hope that whoever comes in, Cleans this mess, This jackass is going to bankrupt the country with these huge government projects
Dude, use your little common sense. How can he bankrupt the country while our accumulated 'akiba ya taifa' right now is the highest ever since we got independence?
Nyie wafuasi wa msaliti muwe mnatumia angalau akili kidogo mnapotoa porojo zenu.
 
Back
Top Bottom