Calvin Francis afariki dunia

Tunashtuana maana kuna jamaa namfahamu anaitwa hivyo bila hiyo willy sasa
nikajua kimeo kumbe hamna anyway
RIP VIN FRANSIS
 
Duu, RIP Calvin nakukumbuka sana kwa michango yako kwenye swala zima la IT. hasa topic yako ya
[h=2]FREE Huawei MODEM Unlocking codes Request[/h]
Just POST HERE your 15 DIGITS IMEI and model example


Model: Huawei E160
IMEI: 35159603*******and I will give you unlocking codes.

pumzika
 

u mean its calvinpower...?
 
wewe uliyejiunga juzi huwezi kumjua mtu huyu, tafuta jina la CalvinPower

So sad to hear this.He was so cooperative in the Tech,gadget and science forum RIP Calvin. Sasa watu wengine wanaleta blah blah zinasababisha maswali mengi bila sababu.Asante mkuu Maswi kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:
So sad to hear this.He was so cooperative in the Tech,gadget and science forum RIP Calvin. Sasa watu wengine wanaleta blah blah zinasababisha maswali mengi bila sababu.Asante mkuu Maswi kwa taarifa

ndugu mimi siyo mtoa taarifa, but according to mtoa taarifa, amesema alikuwa mtu wa IT, na humu JF sizani kuwa kuna mtu wa IT mwingine anaitwa calvin, zaidi ya CalvinPower.
 
ungekuwepo wapi mpenzi....?




preta=ningekuwepo

Pitia post #43. Halafu soma hiyo michango ya mwanzo. Utafahamu maana ya preta = ningekuwepo.
 
So what? Kama ni maarufu hivyo mbona simjui ingawa sikujiunga juzi kama unavyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…