ni nani huyu handsome....?
Ni Nani Huyo? Ni mtangazaji,m-bongo movie? Mcheza mpira? Mwanamuziki?
ni nani huyu handsome....?
si umeshaambiwa ni Calvin Francis........
Teh teh teh...ni marehemu Preta,lol!
Afadali, tena nilikuwa natafuta chumba cha kupanga muda mrefu, na karibu vyote vilikuwa vimejaa, labda sasa hivi nitapata manake najua huyu jamaa mwenye nyumba atakuwa anatafuta mpangaji mpya!
Aseeee......