mnengene
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 4,141
- 6,351
vipi mmeshaanza induction? Mlikutana na mtu anaitwa Mbogo pale hospitali? au Dr mlay?Afu pale lazma tulkua ote maana si watu walkua wachache ile saa 2
Mkikutwa na ngoma hamna ajira, ndio maana bado hamjapewa barua za ajira hadi sasa.