Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Mi nashangaa wanaongopeana tu hapa eti tpa kuna ela...mavi matupu huwezi amini waajiriwa wanaomba nauli kwa vibarua....ngoja waende mwenye vision hamalizi hata mwaka ajira ile anaitema
🤣🤣🤣🤣🤣 wanajazana upepo
 
Hongereni mliochaguliwa TPA ni moja wapo wa taasisi za serikali zilivyo vyema sana
 
ilimradi niweze kujitegemea basi, sasa kama hamna ni mavi matupu, ko nkale mavi au .

bas kama hamna ela waiache sasa
 
Back
Top Bottom