Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], atakubal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namuonea huruma mwanamke utakaye muoa
 
sema atafaid kitu kimoja mi ni mcheshi afu ua skasrk, sema ua n mbish sana af najua najua thaman ya dem/mtoto wa kke, najua tabu zao sema ataumia koz ua napend sana kuulza na ua siamn kwa haraka
 
Hīvi kuandiķa hivyo unafanýa kusudi tu aū una ulemavu wa mkono?
 
Madereva naomba mrejesho ulifanyika usaili gani.
Madereva Oral naskia kuna kipengere kinakuwaga na cha kutaja Alama za barabarani yaani unawekewa ubao pale mbele unaanza unyeshewa unatakiwa uwe fasta maana kabla hujamaliza kujibu ushaulizwa alama nyingine na unatakiwa upate walau alama 5 kwa usahihi hili nimemegewa na mtu aliyewahi fanya huo USAILI UTUMISHI kwa upande wa ORAL Mengine sifahamu nikipata nitawamegea.
 
Shukurani mkuu
 
Watu Wana roho mbaya hahaha, yaaani jamaa ana 55.5 kaachwa ( NOT SELECTED) kachukuliwa wa 56 wameshindwa hata kuaproximate haha
Hahahaha ndo inavokuwaga kwa hawa jamaa acha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom