jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
- Thread starter
- #81
Ludovick Utoh alikuwa mtata haswa na ndiye aliyeifanya ofisi hii kuwa mwiba haswa...Jingalao,Jingalao ni Jingalao.Sasa unatakiwa ujiulize je wakati huo wa Ludovick bunge lilifanyaje kazi?kama lilikuwa kama sasa labda Ludovick angeliita bunge lakiseng..e mana namjua mzee Ludovick ni mtata huyu Assad wawatu ni mkimnya sana na muungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good thing about Ludo aliweza kutatiza bila kuvunja heshima ya mtu au taasisi na hivyo kupelekea bunge na serikali kufanyia kazi mapungufu "madhaifu" yaliyogundulika...na hata kwenye ripoti zilizofuata ofisi ya CAG (chini ya Assad sasa)ilikiri kuwapo kwa mabadiliko chanya katika matumizi ya fedha za umma....sasa inashangaza kumsikia Assad akiwa ughaibuni akibwabwaja negatively tena kinyume na ripoti zake mwenyewe.