CAG Ludovick Utoh aliibua madudu mengi bila kudhihaki taasisi!

Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Bila kuwa na akili za maiti ni ngumu sana kuwa mwanaccm
 
Unajua Mr mimi nashindwa elewa hii kitu,taasisi uite dhaifu,itafanyaje kazi na wewe,tayari umeonyesha hawana uwezo?,Bunge kwangu Mimi liko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi taasisi haiwezi kuwa dhaifu kutokana na uongozi wake? Kila raia mwenye naelewa wa maana ya utawala bora anajua Bunge ni dhaifu. Sana sana humu mitandaoni kama kawaida ya zama hizi kodi yetu inatumika kutuhujumu wenyewe.
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Jinga katika ubora wake wa kijinga

Utoh ni Mkristo na Assad ni ndugu yetu katika Imani

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Alifanya kazi na bunge imara na ambalo llikuwa na maamuzi ya kibunge.
 
Kufikia hatua ya maazimio ya kutofanya kazi na CAG kisa tu kasema Bunge lina weakness when it comes to taking actions on numerous issues anazoraise ni “udhaifu uliopitiliza”. Bunge hili na Speaker wake ni dhaifu mnooo.

CAG atachapa kazi kama kawaida. Hawa wanaojua kusoma na kuandika tu hawatomzuia yeye kuchapa kazi. Hapa sasa ndio tutaona kama Jiwe nae ni dhaifu na/au ndumilakuwili
 
Naona umejikaza ukaamua kutafuna jongoo kwa meno!! Ni mpumbavu sana uliyeshindwa kutetea ulichotaka tuaminisha!! Vichwa vyenu vimejaa usaha kiasi cha kucheza na hatari ya future yenu!!

Wewe ni lost case!!
Hoja hujibiwa kwa hoja sio vihoja
 
ALIWAHI KULIITA BUNGE DHAIFU?au Serikli dhaifu tena akiwa ughaibuni?
bunge la wakati huo halikuwa kama hili mjomba bunge hili linaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja ambaye ripoti ya CAG inaipaka matope sura yake mbaya aliwaminisha wapumbavu kama jingalao kuwa yeye ni MALAIKA
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Takataka taasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kipindi cha mzee utoh mlimaliza shida za wananchi wa kijiji chenu?
 
Tatizo assad anafanya kazi kipinzani..yaani ni lazima udhalilishe wengine ndio uonekane umeongea..kama chadema wanavyoamini ili demokrasia ikamilike ni kazima uachiwe utukane na udhalilishe wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambayo kwa udhifu wa bunge hayakufanyiwa kazi pia sio?
Huyu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana,hajui kama hapa amekuja kupigia mstari hoja ya CAG.

Kama anakiri CAG aliyepita aliibua madudu mengi basi anapigia mstari hoja ya CAG Assad dhidi ya bunge la sasa.

Hayo madudu anayodai yaliibuliwa na CAG aliyepita aliyajulia wapi kama sio kupitia bunge ambalo lilikuwa imara?
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Stupid you..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo assad anafanya kazi kipinzani..yaani ni lazima udhalilishe wengine ndio uonekane umeongea..kama chadema wanavyoamini ili demokrasia ikamilike ni kazima uachiwe utukane na udhalilishe wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu leo kamdhalilisha mwenzake kwa kuweka wazi madeni yake. Je na yeye anafanya kazi kipinzani?
 
Tatizo assad anafanya kazi kipinzani..yaani ni lazima udhalilishe wengine ndio uonekane umeongea..kama chadema wanavyoamini ili demokrasia ikamilike ni kazima uachiwe utukane na udhalilishe wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo unataka kuleta hoja iweke sawa ili iweze kuleta maana pana zaidi..
 
Back
Top Bottom