CAG Ludovick Utoh aliibua madudu mengi bila kudhihaki taasisi!

Acha uongo, alifanyaje umma uchukie ufisadi?

Kwani huyu haibui madudu?

Kaibuwa madudu mengi sana! Bunge ndo dhaifu halichukui hatua kuhusu madudu hayo, inaonekana bunge na serikali ni kitu kimoja. Kinyume cha katiba!
Achana nao hao wanataka kutugawa.
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Huo ni ukweli ila assad ameingia kumi na nane ya wanasiasa. Ama kwa kusudi au bahati mbaya ni mapema kujua.
 
Kwa hili hapana, Prof Assad hajalidhalilisha bunge, hata kidogo, kusema ukweli na bwana Ndugai kuwa na mihemko kumeleta haya yote..Tukubali kukoselewa Watanzania, hasa viongozi wetu, hatutakufa wajameni!:(
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
jamani mbona Assad hajamdharau mtu au neno dhaifu hahahahahaha ila Assad anamisimamo aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom