Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.
He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Acha uongo, alifanyaje umma uchukie ufisadi?
Kwani huyu haibui madudu?
Kaibuwa madudu mengi sana! Bunge ndo dhaifu halichukui hatua kuhusu madudu hayo, inaonekana bunge na serikali ni kitu kimoja. Kinyume cha katiba!
CAG Assad ni mwiba kwa Jiwe
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwa hiyo huyu katukana!tatizo kuu la hapa ni unafiki,kaulizwa swali kalijibu,majibu yake ata kama ni ya kuudhi ndio ukweli huo usikieni.Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.
He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Umeshawah kusoma kitabu cha Utoh cha kalamu isiyo na wino alikuwa anamaanisha nin?au umekurupuka tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
At least MADUDU yake yelifanyiwa kazi na serikali ya wapigaji ya JK ....... Ila huyu wa sasa MADUDU yake hayafanyiwi na serikali inayodai inachukia Ufisadi!!Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.
He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Bunge wakati huo lilikuwa bunge,cyo LA sasa. Bunge enzi hizo liliweza kumng'oa hata waziri mkuu.Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.
He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Majibu yake yanafanana na mtu aliyekuwa kwenye kahawa akichangia hoja za mgahawani.Sijaona Ripoti mahsusi iliyotamka kuwa bunge hili lilionesha udhaifu katika kusimamia Serikali(naamini pia hiyo haikuwa sehemu ya kazi yake)...aliacha taaluma yake na akajipa uanasiasa sasa yote yanayojiri ni matokeo ya mtaalamu kuacha taaluma na kujivika uanasiasa.Katika ripoti yake ya 17/18 kwa Rais angeweka hiko kipengele kwenye abstract ya taarifa yake ya kuwa bunge ni dhaifu na hivyo angeshauri na hatua za kuchukuliwa dhidi ya bunge dhaifu.Kwa hiyo huyu katukana!tatizo kuu la hapa ni unafiki,kaulizwa swali kalijibu,majibu yake ata kama ni ya kuudhi ndio ukweli huo usikieni.
Kumbuka Job Ndugai alikuwa mmoja wa wanaoongoza bunge hiloBunge wakati huo lilikuwa bunge,cyo LA sasa. Bunge enzi hizo liliweza kumng'oa hata waziri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app