CAG Ludovick Utoh aliibua madudu mengi bila kudhihaki taasisi!

Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Wakati wake Rais alikuwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja iliyopo meza usio ubora wa CAG Bali udhaifu wa Bunge

Kuhusu kuibua Madudu Mengi Mie Pia na kupinga

Uttoh alijipatia umaarufu wa Special Audit nyingi alizofanya ambazo chanzo chake Ni kuibuka kashfa kupitia uhuru wa kujieleza them ndio anaambiwa kafanye Special Audit sio Kuwa Uttoh alikuwa anaibua Madudu wakati wa Statutory Audit zake

Mf wa Special Audit zilizompa umaarufu Uttoh Ni Pamoja Na

EPA, Escrow, Rushwa ya Jairo Na kashfa ya Ujenzi wa Bandari

Sasa hivi Hakuna special Audit Za namna hiyo kwa Kuwa nyakati zimebadilika

Nitajie Kashfa Moja kubwa iliyoibuliwa Na Uttoh ambayo chanzo Ni Ukaguzi wake wa kawaida sio special Audit zizlizotokana Na kuvuja Taarifa Za wizi Au Ubadhirifu?
Napendekeza uongezwe kwenye orodha ya watakaosafiri na Taifa Stars kwenda AFCON Misri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabadili hilo jina, linakufanya uonekane kweli ni mjinga
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Yule ni mchaga......anajua kula na vipofu Huyu Assad ni alhaj anaamini katika Haki na kwamba hata Yesu alisema kweli itakuweka huru nawe utakuwa huru kweli kweli!
 
Kwa hiyo "ukidhihakiwa" unazira na kutingisha katiba??
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.
He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Mapungufu aliyowasilisha kwenye ripoti yake yalifanyiwa kazi na bunge
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Mkuu....Utouh alifanya kazi wakati neno utawala bora lina heshima yake, enzi za Mkwere a.k.a Mr Dhaifu

Assad amefanya kazi enzi hiyo kwa kiwango kidogo na zaidi kipindi hiki cha kuimba, kusifu na kuabudu....mazingira ya kazi ni tofauti.

Usilinganishe apples with mangoes....itakuwa huitendei haki elimu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Tatizo siyo CAG Assad, tatizo ni Magufuli. Mbona Kikwete alifanya kazi vizuri tu na Assad? Huyo Utouh unayemsifia, alikuwa akileta yale madudu, yanafumuliwa na watu wanachukuliwa hatua kutokana na presha ya Bunge, iliyoongozwa na kambi ya upinzani. Sasa shida ya Magu ni kwamba yeye hataki upinzani ufurukute na kufanya kazi yake. anataka kama ni maskandali ayaibue yeye. Pia hamtaki Assad kwa sababu Magufuli ana staili ya hovyo kabisa na mbaya sana kuhusu matumizi ya Serikali. sasa amekutana na Assad ambaye haingiliki wala hatikisiki, wala hatishwi. matokeo yake Magufuli kamsusa CAG na anapokea ripoti shingo upande. anamtumia Ndugai kumtikisa, lakini anajisumbua. anadhania jamaa atasusa ajiuzulu, HAONDOKI NG'O. WEZI WAKUBWA NYIE.
 
Yule ni mchaga......anajua kula na vipofu Huyu Assad ni alhaj anaamini katika Haki na kwamba hata Yesu alisema kweli itakuweka huru nawe utakuwa huru kweli kweli!
Yule ni Mchaga...
Huyu Assad ni Alhaj...
Mchaga = kabila
Alhaj = title anayopewa mtu baada ya kwenda Makka kufanya hijja.
Najaribu kutafuta uhusiano wa maneno hayo mawili lkn sipati jibu.
BTW, kwani Mchaga huwezi kuwa Alhaj?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
kwa hiyo unataka kutuambia nini
 
Unajua Mr mimi nashindwa elewa hii kitu,taasisi uite dhaifu,itafanyaje kazi na wewe,tayari umeonyesha hawana uwezo?,Bunge kwangu Mimi liko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Hapo chini ungemalizia hivi..
Wakati huo spika alikuwa MAKINDA...
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.

Assad amesema anatamani mahojiano yake na hiyo kamati yawekwe wazi tupime wenyewe. Hapo huu utetezi wako ungepata mashiko.
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.

Madudu ya kipindi hicho pia yalikuwa tofauti sana na ya zama hizi. Aidha wanasiasa wa kipindi hicho waikuwa wa binadamu wanaokubali kukosolewa.
 
Back
Top Bottom