OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,775
Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
Hongereni, kilichonivutia zaidi ni kuwaona vijana wakibongo Kapombe, Zimbwe Jr. na Boko!View attachment 1795213
Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
Sijui mikakati ya Timu ya Taifa ikoje, hawa vijana wangatufikisha mbali.Hongereni, kilichonivutia zaidi ni kuwaona vijana wakibongo Kapombe, Zimbwe Jr. na Boko!
Sio vibaya TFF wakaenda kujifunza kwa Simba namna nzuri ya kuhamisha morali ya Simba kuipeleka kwenye timu ya Taifa. Ukiangalia timu ya taifa ikicheza huioni ile hamasa ya wachezaji kutafuta kiu ya matokeo kama ambavyo Simba wanafanya kwenye mechi zao. Na "case study" iwe ni zile mechi Simba alizowakalisha vigogo wa Afrika Al Haly, As Vita n.k. Hamasa ianzie hapo iwapo Simba kampiga Al haly hapa kwa Mkapa basi na timu ya taifa ya Misri haitoki salama kwa Mkapa. Kwa Mkapa iwe machinjio ya timu zote za nje zinazokuja kucheza hapa nchini na timu yoyote ile ya Tanzania.Sijui mikakati ya Timu ya Taifa ikoje, hawa vijana wangatufikisha mbal
Ni kweli hamasa zinatia sana confidence na kujituma.Sio vibaya TFF wakaenda kujifunza kwa Simba namna nzuri ya kuhamisha morali ya Simba kuipeleka kwenye timu ya Taifa. Ukiangalia timu ya taifa ikicheza huioni ile hamasa ya wachezaji kutafuta kiu ya matokeo kama ambavyo Simba wanafanya kwenye mechi zao. Na "case study" iwe ni zile mechi Simba alizowakalisha vigogo wa Afrika Al Haly, As Vita n.k. Hamasa ianzie hapo iwapo Simba kampiga Al haly hapa kwa Mkapa basi na timu ya taifa ya Misri haitoki salama kwa Mkapa. Kwa Mkapa iwe machinjio ya timu zote za nje zinazokuja kucheza hapa nchini na timu yoyote ile ya Tanzania.
Huwa nawaona wachambuzi wengi wa JF kama makanjanja Fulani hivi. "Eti Kapombe na Shabalala ni mabeki wabovu na ndo waliofungisha Sauzi."View attachment 1795213
Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
Umeumia eeeeeee?Simba imetoka, mashindano yamekosa mvuto
Best team of the week zitazowekwa kwanzia sasa, zitawekwa kwasababu timu tu ilishiriki na sio uwezo
Just imagine kwenye list kaizer chief kaingia kipa tu unategemea nini mbeleni?
Asante sana.Timu ya Simba ifanyie Kazi ya kuongeza kipa 1,mabeki 2,,washambuliaji 2, na kiungo 1.
Mabeki wa pembeni wasajiliwe wazuri wawe wanapanda kama akina Miskoni na Morisoni.
Washambuliaji wawe wakali kwa ajili ya ku score tuu.
Na pia kocha afanyie Kazi utengenezaji wa space wakiwa na mpira badala ya kuchezea mpira nyuma ya wapinzani hata kama Wana mpira.
Mwisho ,Simba iwe na mind set kwamba wao ni timu kubwa kwa hiyo waache mind set ya kutegemea uwanja wa nyumbani tuu,wakiwa ugenini wacheze defensive game but wajitahidi kupata japo goli moja au basi sare ama wasiruhusu kufungwa magoli mengi.
Timu ikifungwa wafunguke kutafuta goli Ili kupunguza mzigo mechi ya nyumbani.
Wale Kaizer nimewaona wanapanda ndege huku wanatetemeka, bado hawaamini kama wamefuzu mbele ya Simba SC baba lao Afrika masharaki, kati na kusini mwa bara la Afrika.Chama amepewa points nyingi kuliko wote 9.9
Halafu huyo kipa wa Kaiza katunguliwa goli 3 inakuwaje awe bora. Au wameangalia n sevu alizo ziokoa?.
Hongereni Simba na mashabiki wote wa kibongo maana tulikuwa tunakinukisha hadi kwenye mitandao ya nje hadi wametumiss.
Mashabiki wa Kaizer nao nimeona wamekubali mziki wa Simba.