Jwaneng Galaxy yailalamikia Simba kwa kuwahujumu, yatuma malalamiko CAF

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,917
15,347
MABINGWA wa Botswana, Jwaneng Galaxy, wamewatuhumu vigogo wa Tanzania, Simba SC kwa mbinu za kichinichini, ikiwa ni pamoja na tuhuma za kuwekewa sumu kwenye vyakula, kabla ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi iliyopita.

Galaxy ilikumbana na kichapo cha mabao 6-0 jijini Dar es Salaam Jumamosi, Simba ikitinga hatua ya robo fainali, lakini kocha wao Morena Ramoreboli ametoa tuhuma nyingi, akidai kuwa wenyeji wao walivuruga kwa makusudi maandalizi ya timu yake kabla ya mechi.

 
Makolozidad ile issue ya Marumo wale matapeli wa Nigeria walikomalia sana. Ila hapa wamejificha kwenye mashina ya mchina tusiwaone
 
Ma uto ni mainterahamwe. Yana roho mbaya ya kiukweli kweli na ndio maana Yanawapokea wapinzani wa simba na kuwaambia Simba wanapuliza sumu vyumbani.
 
Kuna kitu kibaya kinanukia katika mpira wetu ila wakulaumiwa ni Tff kwakushindwa kutoa adhabu za maana.

Ingekua timu inapoteza ata point Moja au mbili kwa kuhusishwa na vitendo viovu vya kishirikina mambo Aya yangekwisha kabisa.
Timu karibu Kila mwaka Ina adhibiwa kwa vitendo hivyo lakini adhabu ni faini pekeyake mpaka inatutia aibu kama Taifa nje ya Nchi Bado wanaichekea.
Sasa itakuja adhabu halisi ya Fifa/CAF ndipo tutalia na kusaga meno kama Taifa.
 
Tena uchunguzi ukiletwa kuna timu na watu wataumbuka vibaya mnoo..bora CAF waamue kukausha tuu...maana ni aibu..
 
Back
Top Bottom