CAF Champions League

CAF Champions League

Bora wamefungwa midomo mtaani ipungue chezea warabu weye kichapo tu rudini ligi yenu ya mchangani.
 
Hakika watanzania hatujijui kwani yanga ingeshinda ingekuwa heshima kwa tanzania siyo kwa yanga tu,tubadilike chuki za ndani zibakie ndani tu
 
Bahanuzi awekewe ulinzi na Serikali kwani mashabiki wa kandambili wanaweza kumdhuru.
 
kipa kajitahidi ila bahanuzi na oscar wakulaumiwa tu,hata kama penalt hazna mwenyewe,
samahani kdg et hivi ngasa bado anaongoza ufungaji?abane mbup 2 atachukua kiatu!
Poleni watani,karbn tena kwenye ligi yetu ya mchangani

Nafikiri magoli ya preliminary round huwa hayahesabiwi....
 
angalau jana tumepata usingiz mnono,,Mungu aliliona hili kama hawa ndala wangeshinda jana mashabik wa simba wangetafuta pa kujificha huko bunju kwao.
 
Ujinga ndio tuliokuwa tunautaka, walianza matusi mapumziko walivyo kuwa na akili mbovu, mbaya zaidi wanashangilia simba simba simba simba, walituboa kwakwelibora tu wametoka wangetutoboa hata macho kwa masinki
 
Nasikia baada ya kufa kiume yanga wamekaribishwa kwenye bunge la katiba linaloendelea mjin dodoma
 
Hakika watanzania hatujijui kwani yanga ingeshinda ingekuwa heshima kwa tanzania siyo kwa yanga tu,tubadilike chuki za ndani zibakie ndani tu
Alokwambia nani?sifa za namna hyo atuziitaji.
 
Leo kila kijiwe cha ubishi maongezi yanayosikika ni 'YANGA WAMTOA ULIMI MWARABU'. Eti baada ya Yanga kunyolewa na mwarabu, wamebaki kujisifia kwa sifa za kijinga za 'KUFUNGA WATUFUNGA LAKINI CHENGA TWAWALA'. Maajabu haya!!!

Watu wanatafuta kushinda halafu wengine wanatafuta sifa za kijinga? Wakati waarabu wanapiga mpira wa kitabuni, Yanga wanaweka uchawi golini!!

Rudini nyumbani bongo mje mkacheze mpira wenu wa kichawi. Mpira wa kichawi hauchezwi uarabuni bali huchezwa katika 'majaruba' yenu ya bongo.

Kuna wanayanga wanamlaumu Twite kwa kukosa penati ya mwisho na kusahau kwamba yule aliyekosa ya kwanza ndiye aliyewakatisha tamaa wenzake. Mchezaji aliyefanya kazi nzuri ni Dida, wengine wote mbwela tu, hawakuwa na lolote. Tuache kucheza mpira wa mdomoni na wa kishirikina. Mpira hauchezwi hivyo. Mbona ushirikina wa Dida haukuwasaidia kushinda? Tubadilike.
 
Mimi ni Simba na nilikuwa nawaombea wafungwe hapo jana, nilitegemea watakula kichapo cha haja. lkn kama wamefika mpaka kupigiana penati basi watani wamejitahidi tena sana wanahitaji pongezi aisee
 
Pumba unajua fitna za mpira kabla ya mechi wewew au kwa sababu unabundle ya net basi unaandika kishabiki tuu !
Hamujui kucheza..... Wachezaji wa Ahli wanamisongo kibao na huzuni ndanimwao...YANGA ipo fresh hatajilinda washindwa !!? HOPLESS....
 
Back
Top Bottom