CAF Champions League

CAF Champions League

Yanga hawaonekani kucheza kwa speed kubwa labda ndivyo walivyoelekezwa. Wako slow sana na wakipata mpira hawaonyeshi uchu wa kutafuta goli.

Tiba
 
Jamani shafii dauda amelala kwenye majani huku akichukua matukio.....Hongera dauda
 
Ingawaje Yanga wanacheza kama Man utd ya Moyes wanaweza kupata goli la ugenini
 
yani nimejilipua nilimpa wigan,hull ct na juve mkeka wa kwanza,wa pili nikampa man ct,lille,madrd,dortmund,espanyol
yan nabana mbup mpk znauma

taratibu kaka uzazi wenyewe ndo upo huko
 
Back
Top Bottom