Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Msimamo wa ligi kuu Tz upoje hadi sasa?
Mlivyokuwa na furaha mpaka mnayasahau matatizo yenu.Endeleeni kuwashabikia waarabu wakati mnataka kushuka daraja,Prison 0-0 Simba Kapakatwa.
Kama bahanuzi akiwemo usajili ujao wa yanga narudia darasa la kwanza
Vijana wa yanga wako kazini mdahuu wakipambana kutetea taifa,tuache unazi tuwaombee wavuke salama.
BAYERN MUNICH JE WANA TIMU GANI KAMA YANGA WANATIM MZURI? Toa kinya chako apa mchezaji atakuwa ngasa?
YANGA YATUPWA NJE MICHUANO YA CLUB BINGWA AFRIKA , YEEEEE OYEEEE YEYEYEYE. POLEN SANA WATANGANYIKA, mpira c fani yenu.
Ngasa bado anaongoza kwa ufungaji?
Leo nina hasira kama kifaru aliyejeruhiwa...
Hayajui kucheza banaa ...Yanga iliongoza ikashindwa kujilinda..HOPELESS...wacha yarudi tu!! watmweza mwarabu gani?hawa!
inaongoza vp fahanua?
uko darasa la pili nini?
Halafu kwa nini kocha hakumpanga Chuji apige katika zile first five penalty? Jamaa namuaminiaga huyu. Hanaga ubishoo. yeye ni kombora tu. Daaah Bahanuzi katulisha!Hivi Mungu huyu kwanini huwa hasikilizi kilio cha minorities kama Yanga..
Kwa nini mechi haikuishia kwa Bahanuzi...this is not fair jamani...
Kila siku siye ndio wakuambiwa tumejitahidi...bahati haikua yetu...mara tumetoka kishujaa..sijui kifua mbele...
Ni bora tungefungwa 5 zile tulizozoea kuliko tulivyofungwa leo....pamoja nilikua namatumaini na ndoto za kuwafunga waarabu nilikua najua waarabu ni wazuri sana uwanja wa kwao lakini Dida alipocheza penalty ya pili moyo wangu ulilipuka nakusema "this is it " masikini ya Mungu Bahanuzi...
Kwa masikitiko na unyonge niliyonao usiku huu...natamani hata bora ningekua sishabikii mpira kabisa maishani mwangu...haya ni mateso usiku mzima..bado blue Monday...