Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,292
Unajuaje kama yalikuwa ni madawa ya kishirikina?
Je waumini wa imani za Kikristo au Kiislamu huwa hawana vitu au materials zinazowaaminisha kuwa ni ulinzi?
Kwa nini usiamini kuwa alikuwa akitandaza kitu ambacho kwa imani yake ya dini kinamuaminisha ni ulinzi?