FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,442
3,610
Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.

MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.

Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.

Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na point 5 huku Mazembe akiwa na point 2 nafasi ya nne.

Matokeo ya leo yataleta athari kubwa kuelekea mchezo wa Al Hilal Vs Yanga hapo jumapili.

Azam Sports 1HD watakuwa live, wale wa kustream pitia hapa www.fawanews.com
 
MC Alger tuko pamoja
IMG_4862.jpeg
 
Wakubeti Tipwisa Mazembe ana Odds 17✅ nadhani ni hela ya nje nje hii. Ukiogopa mpe na handicap na goli zake mbili ina 3.0++. Mambo ni Shwaaaaa
 
Kila la heri friends of simba, TP MAZEMBE
View attachment 3197444
Hii Tp Mazembe sio sawa na hawa viwete ambao mlikuwa mnashangilia siku ya draw mlivyopangwa nao.

Mlishangilia kwasababu mlijua mnakutana na timu mbovu na ndio maana hizo point 4 mmechukua kwenye timu hiyo hiyo.

Tp Mazembe yupo kwenye vikwazo vya CAF vya kutosajili, Mazembe kaondokewa ja wachezaji wake wa 5 waliokuwa wanaanza 1st eleven.

Tp Mazembe ililazimu kutumia wachezaji wa kikosi B kuja kuziba mapengo ambayo yalikuwa hayana wachezaji.

Tp Mazembe ililazimika kumtumia kipa wake Shaibu kama striker kutokana na wachezaji wa eneo hilo kukosekana.

Tp Mazembe ikija NBC haiwezi kumaliza msimu bila kushuka daraja.

Ni ujinga sana kutamba kumfunga mpinzani ambaye ni dhaifu na kuweka mifano ya ushindi aliowahi kupata dhidi ya Simba kipindi wakati Tp Mazembe alikuwa bora.
 
Punguza Tempa Kwanza Bwana Mdogo
 
kwakuwa hatukupanga sisi wacha tutambe.
 
Back
Top Bottom