:love::target::nono:
yanga yatupwa nje michuano ya club bingwa afrika , yeeeee oyeeee yeyeyeye. Polen sana watanganyika, mpira c fani yenu.
Dah!watanganyika hebu tuwe na uzalendo.
YANGA YATUPWA NJE MICHUANO YA CLUB BINGWA AFRIKA , YEEEEE OYEEEE YEYEYEYE. POLEN SANA WATANGANYIKA, mpira c fani yenu.
Hata ukisindikiza mgeni umbali mrefu usiposafiri ni kazi bure.Polen dar young ila mmejitahid
Waongelee yao ,maharage anawapa shida wanakomaa yanga yanga.sikuhizi mnashabikia yanga nini? Tuacheni na Yanga yetu
Mimi ni Simba na nilikuwa nawaombea wafungwe hapo jana, nilitegemea watakula kichapo cha haja. lkn kama wamefika mpaka kupigiana penati basi watani wamejitahidi tena sana wanahitaji pongezi aisee