Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Aisee! Kumbe Yanga haikuwa na mategemeo ya kuitoa Al Ahly !?Unacheza! Kama Simba kashindwa kumfunga Prisons wa Mbeya unategemea Yanga amfunge bingwa mtetezi?
Aisee! Kumbe Yanga haikuwa na mategemeo ya kuitoa Al Ahly !?Unacheza! Kama Simba kashindwa kumfunga Prisons wa Mbeya unategemea Yanga amfunge bingwa mtetezi?
Al ahly team funga hao kandambili goli 3 tu,ngassa aje amsuke snura huku!!
My Foot...Utaifa uko kwenye timu ya taifa
Yaani nipoteze mda eti kuitakia Yanga ishinde?? ntakuwa kichaa
Yanga waishangilie Manji na Bin Kleb
Nashukuru saaaaaana wamepigwa
Manake wangeendelea tu kutumia pesa na wasingefika popote
Kwanza Al Ahly wenyewe wabovu.
Kukubali kufikishwa kwenye matuta na timu mbovu kama Yanga ni upuuzi.
Yanga saizi yao ni Ruvu Shooting.Mkija kwa Simba tunawagonga saba this time
Wee nae jana ulikuwa unawashwa eeh, mbona hukwenda kuwasaidia hao al ahly wako wasifike kwenye matuta
Wakati hii thread ikiendelea na tukizidi kupeanan pole za hapa na pale (uzalendo haa haa) tujikumbushe kikosi cha club ya soka ya tz iliyoweka historia barani africa .. nakumbuka mziki mzima ulikuwa hivi .
Coach james agrey sianga,
1. Juma k juma (wa ukweli sio wa sasa)
2. Said sued
3.Ramadhan wasso rama
4. CHRISTOPHER ALEX
5. Boniface pawasa
6. Seleman matola (veron)
7.Ulimboka mwakingwe
8. Shekhan rashid
9.Emanuel gabriel
10.Yusuph macho musso
11. steven mapunda garrincha...
WARABU WALIKAA BILA KELELE ZA MAGAZETI
Mkuu hicho kikosi umekosea kidogo, ngoja nikukumbushe.
- Juma Kaseja
- Said Sued
- Ramadhani Waso
- Victor Costa
- Boniphace Pawasa
- Christopher Alex
- Athumani Machupa
- Selemani Matola
- Emmanuel Gabriel
- Yusuf Macho
- Ulimboka Mwakingwe
Na picha yao hii hapa chini.
![]()
Wakati hii thread ikiendelea na tukizidi kupeanan pole za hapa na pale (uzalendo haa haa) tujikumbushe kikosi cha club ya soka ya tz iliyoweka historia barani africa .. nakumbuka mziki mzima ulikuwa hivi .
Coach james agrey sianga,
1. Juma k juma (wa ukweli sio wa sasa)
2. Said sued
3.Ramadhan wasso rama
4. CHRISTOPHER ALEX
5. Boniface pawasa
6. Seleman matola (veron)
7.Ulimboka mwakingwe
8. Shekhan rashid
9.Emanuel gabriel
10.Yusuph macho musso
11. steven mapunda garrincha...
WARABU WALIKAA BILA KELELE ZA MAGAZETI
Mlichukua ubingwa gani?
Kaka...Al Ahly ya sasaivi ni mbovu mno...mapigano yamewaathiri sana...hata kwenye timu yao ya taifa unakumbuka walipigwa sita na Ghana.............Kwa ile Al Ahly hata wangecheza na Prisons wangefungwa...Sasa watani mnaenda kule kuleta mzaha...Tatizo hamna wachezaji mna wasusi...pale mchezaji ni Okwi tu
View attachment 143985
| Ahly's coach Mohamed Youssef said " The game was very difficult and the most important in the meeting today is we won and qualified to the Round of 16 of CAF Champions League Youssef explained that Young Africans team is the first in Tanzania and the players have high individual skills . (Source: ØÙ†Ø§Ø¯Ù‰ ØÙÙ‰ ) |
Tumeshinda ingawa tumefungwa.
Mkuu huu ni ulevi wa mchana kweupe pee. hukumbuki kuwa kabla ya kukipiga na Yanga Al Ahly waliumiza mtu bao 3-2 katika Super Cup ndani ya dakika 90? Huoni kwamba Yanga ni tishio hadi dakika 90 mambo yalikuwa magumu kwao, hebu ona kauli ya kocha wao:
Youssef : It Was Very Difficult Game
Ahly's coach Mohamed Youssef said " The game was very difficult and the most important in the meeting today is we won and qualified to the Round of 16 of CAF Champions League Youssef explained that Young Africans team is the first in Tanzania and the players have high individual skills . (Source: ØÙ†Ø§Ø¯Ù‰ ØÙÙ‰ )
Ndio kawaida yenu Yanga...nyie mwacheza mpira wa maneno ...wenzenu wanacheza uwanjani na wanashinda.......Kwenu nyie ushindi mnaupata kwenye magazeti .....na kwenye sifa za kijinga....Poleni sana........
Hongereeni nyie manaoshinda uwanjani kila siku kiasi kwamba sasa hivi manaongoza ligi, pongezi kwenu.