Kwa kweli sijawahi kuiona El Ahly mtepeto kama ya safari hii; kiwango walichoonyesha hata Mtibwa au Azam ingewatoa. Naona watani zetu walijichanganya hapa nyumbani kwani kama wangekuwa makini jamaa wale wangeondoka na goli tano hapa. Vyovyote iwavyo Yanga ni lazima wajilaumu wenyewe kwa kuwa overconfident.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pumba unajua fitna za mpira kabla ya mechi wewew au kwa sababu unabundle ya net basi unaandika kishabiki tuu !
Kipa kacheza penati 2 nzima, hapo yanga tujilaumu sisi wenyewe tu.Halafu kwa nini kocha hakumpanga Chuji apige katika zile first five penalty? Jamaa namuaminiaga huyu. Hanaga ubishoo. yeye ni kombora tu. Daaah Bahanuzi katulisha!
Hebu lala wewe wenzio washakula pain killa wamelala
Waswahili wana sema ' Masikini hazai Basha" haya matokeo yalijulikana.
Pumba unajua fitna za mpira kabla ya mechi wewew au kwa sababu unabundle ya net basi unaandika kishabiki tuu !
..Magazeti ya simba hapo kesho.
Saba za wakomoro zawaridia.
..yanga kama nyoka wamaonyesho walala na mbuzi washindwa kumtafuna
..profesinal wao mwenye kejeri kwa simba awatoa yanga afrika
Msimamo wa ligi kuu Tz upoje hadi sasa?
Pumba unajua fitna za mpira kabla ya mechi wewew au kwa sababu unabundle ya net basi unaandika kishabiki tuu !
Watu wenye asili ya Asia rudini kwenu kwani raisi ajaye ni noma ....HATUTAKI mamluki tafuteni njia mapema