Okwi anacheza hovyo naona angetoka
unajua kama sisi Al ahly ni bingwa mtetezi
Amini usiamini yanga inaendelea...[/QUO
SIYO SIRI MUNGU MKUBWA
Mwache akose hivyo hivyo, asije akawapa la kusema.Msuva anakosaa dah
Ungetafasiri kabisa twendwe wote sawa.
Amini usiamini yanga inaendelea...
nao hawaguswi..kidogo chini.Kipindi hiki cha pili naona wachezaji wa Yanga wanacheza sana madhambi karibu na lango lao
Okwi anacheza hovyo naona angetoka
Leo ushindi lazima
Subirini mtolewe kama Man city walivyotupwa kule na Wigan kwenye FA.Aiseee yanga wakosakosa kagoli kamo!!
Wanasema radi haipigi sehemu mara mbili... tumejifunza kutokana na makosa... Naanza kuona the beginning of the End of trophyless season sasa... LOL