CAF Champions League

CAF Champions League

Wigan vs Arsenallllllll kama nilivyopenda Semi final... Come on Arsenal.......
CC Arsenal haters

Ulifungwa fainali na vibonde Birmingham so usishangae yakajirudia yaleyale
 
للرياضة البدنية‎
0-0
 
Kila la kheri Yanga,Mi nimpenzi wa Simba lkn kwasasa nimesitisha kuishabikia hadi Rage na kifaranga wake Kamwaga wakiondoka.
 
refa katuua bhana! kipa anarudishiwa mpira ndani ya box alafu anadaka refa anaangalia tu!
 
Ulifungwa fainali na vibonde Birmingham so usishangae yakajirudia yaleyale
Wanasema radi haipigi sehemu mara mbili... tumejifunza kutokana na makosa... Naanza kuona the beginning of the End of trophyless season sasa... LOL
 
Back
Top Bottom