Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Yanga wanacheza vizuri sana kipindi hiki hawajapaki bus
Acha porojo mkuu...hakuna manual book ya kocha akiwa kwenye benchi la ufundi
للرياضة البدنية‎
0-0
Ungetafasiri kabisa twendwe wote sawa.للرياضة البدنية‎
0-0
Unataka kocha akae chini kwenye game muhimu kama hii?
Habari njema kwa arsenal wenzangu. Man city kafungwa 2-1 na wigan kombe la FA kwaio tunakutana na wigan nusu fainali...
mama yangu! goli la wazi kabisa tunakosa!