Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Tunakupiga 3, keshoyake tunatangaza ubingwa.Bado hujasema! na tukirudi bado nyie.
Tunakupiga 3, keshoyake tunatangaza ubingwa.Bado hujasema! na tukirudi bado nyie.
sikuwahi kujua kama kuna hii Tv station mwenzio
mmeshapata visingizio vya kufungwa?
Habari njema kwa arsenal wenzangu. Man city kafungwa 2-1 na wigan kombe la FA kwaio tunakutana na wigan nusu fainali...
Mkuu Yanga ipigwa kipigo cha Mbweha kumbe nitapata laana....
Arsenal nje amini usiamini. Bora City angeingia na Arsenal
Kila la heri Yanga....
Hope hatutapaki bus....
kumbe hamjiamini..mnataka vbonde angalau mpate kikombe baada ya miaka!Wigan vs Arsenallllllll kama nilivyopenda Semi final... Come on Arsenal....... CC Arsenal haters
Ahsante...
Uzalendo ni kwa Taifa Stars..