CAF Champions League

CAF Champions League

dah hiki kipindi waarabu wako fasta mbaya

natamani hata sa hivi iwe dk ya 90 tu
 
Waafrica bado sana nini sasa hicho golikipa? Imani.za kizamani sana za kuroga hizo
 
Ninaona vizuri au vibaya, naona kitu kama ndumba kinatolewa na Dida kwenye moja ya milingoti
 
Aibuuuu tena aibu kubwa jamani....dida anaweka "vitu" kwenye lango la goli....uchawi live
 
Am not a fan of Yanga but wakiitoa Al Ahly ntafurahi sana.
 
Back
Top Bottom