CAF Champions League

CAF Champions League

Mi mwenzenu nasali tu hapa, roho yangu itaniuma kama hatutashinda.
Ila mpaka sasa tutaenda vizuri tu.
 
Al-Ahaly wapo smart sana....Wamewasoma kipindi cha kwanza.....Kipindi cha pili mmekwisha...

Mwarabu huyu asipokufunga kipindi cha kwanza basi ujue ameshachoka. Hapo yanga watulie tupige Goli moja turudi kwetu
 
Habari njema kwa arsenal wenzangu. Man city kafungwa 2-1 na wigan kombe la FA kwaio tunakutana na wigan nusu fainali...
 
Back
Top Bottom