CAF Champions League

CAF Champions League

Nitakuwepo mkuu hadi saa sita kabisa...ila mkuu,,,,endapo mtashinda...natangaza rasmi mimi na mke wangu tutatembea uchi wa mnyama kutoka posta hadi kimara kesho kuanzia saa tatu asubuhi
Weka picha ya mkeo kwanza!!
 
Inamana tv station za bongo ndo zinatunyima uhondo!!
 
sema haki ya Mungu

Hujamuelewa vema mkuu.Amesema endapo yanga itashinda leo,but just remember that even we draw tutakua tumevuka daraja na ata tukifungwa 2-1,3-2,4-3 bado tutakua tumevuka.Kwahiyo usisumbuke nae sana maana atakua anaombea tupate sare ili asifanye alichoahidi.
 
Kushinda kwa yanga ni sifa kwa taifa pia...hata ulaya pia wanakuwa na uzalendo...

Ya ulaya yaache ulaya bana...kwa tanzania kushangilia yanga sio uzalendo kamwe.......ni kutojitambua
 
Mungu saidia Yanga ifungwe na itoke kwa Aibu"wasilete maneno yao ya kufa kiume
 
Weka picha ya mkeo kwanza!!


Karibu kwenye show kesho endapo mtashinda...au nisema mtavuka hatua hii...Mimi na mai waifu wangu Angel tutatembea uchi toka posta hadi kimara

wife.jpg
 
Ya ulaya yaache ulaya bana...kwa tanzania kushangilia yanga sio uzalendo kamwe.......ni kutojitambua
Naomba nikuulize swali. Tanzania inawakilisshwa na nani katika mashindano ya klabu bingwa 2014 barani Afrika?
 
Back
Top Bottom