KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
Mbona wakat yupo kwenu vipaji vya kinadida vilikufa kama kuua vipaj nyie ndio mliua.ivi Kaseja mlimchukua ''wa kupigia picha''?acheni kuua vipaji vya watu
Mbona wakat yupo kwenu vipaji vya kinadida vilikufa kama kuua vipaj nyie ndio mliua.ivi Kaseja mlimchukua ''wa kupigia picha''?acheni kuua vipaji vya watu
Walisha anza kukuangusha dar huko usitegemee jipya mkuu.we lala mapema hauna haja ya kupoteza usingizi ukiiombea mabaya yanga.
Kwan hao simba wako wapi si waende basi wakamfunge...mnafikir hili kombe kama la mtani jembe sio? Nye subirin mabonanza huku hamuwez hata kidogo.mkuu kule ni ARABUNI,huo mfupa ulimshinda TUPISO MAZEMBE
kwa ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara
mwenye uwezo wa kumfunga mwarabu ni SIMBA SC
Mtahangaika sana.Waarabu piga yanga gori 5 tu zinatosha..!!
Al ahly team funga hao kandambili goli 3 tu,ngassa aje amsuke snura huku!!
Kila la heri yanga
ivi Kaseja mlimchukua ''wa kupigia picha''?acheni kuua vipaji vya watu
Mm simba lakini kwanza uzalendo...kila la kheri yanga...make Tanzania proud..wishing u all the best..mungu ibariki Tanzania..
Mkuu Masuke mimi nakubaliana nawewe kuhusu Yanga kama watarudia makosa walioyafanya hapa home.
Kukosa nafasi nyingi kila wanapofika langoni, tulipata nafasi nyingi sana.
Pia wawe wajanja wa kulinda lango siyo waachie wee tufungwe magoli yasiyohesabika.
Kama wao waliruhusu goli moja nasi tuwe wajanja hata pale mambo yatakapokuwa magumu kiasi kwamba tumeshindwa basi goli liwe moja tu ndio tufungwe.
All in all Mungu ibariki Yanga, naamini juhudi na kujituma, umoja na Kuomba dua yote yanawezekana.
wakuu mnyama anacheza lini?