Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Huku morogoro abood TV itaonesha.....
Hongereni watu wa Moro aisee
Huku morogoro abood TV itaonesha.....
kila mtu Ana mtazamo wake..kwangu mm naweka utaifa kwanza hata kama ni mpenzi wa simba..yanga naitakia kila la kheri ipeperushe bendera ya taifa vema..Ya ulaya yaache ulaya bana...kwa tanzania kushangilia yanga sio uzalendo kamwe.......ni kutojitambua
Wadau nisaidieni jinsi ya kuangalia live hili game kupitia hizo link mdau mwezetu alizotutupia hapo, msaada jaman
Mitaa gani nije kushuhudia
kila mtu Ana mtazamo wake..kwangu mm naweka utaifa kwanza hata kama ni mpenzi wa simba..yanga naitakia kila la kheri ipeperushe bendera ya taifa vema..
matokeo vpppppp
Tutaanzia Posta pale Holiday in..Tutapitia maktaba Square.......then Mnazi mmoja...then Fire...then Magomeni...then Ubungo...alafu kimara...endapo tu Yanga itashinda
Naomba nikuulize swali. Tanzania inawakilisshwa na nani katika mashindano ya klabu bingwa 2014 barani Afrika?
kuna watu ndani hadi ban waliomba mkuu..Karibu kwenye show kesho endapo mtashinda...au nisema mtavuka hatua hii...Mimi na mai waifu wangu Angel tutatembea uchi toka posta hadi kimara
View attachment 143808
matokeo vpppppp
Tutaanzia Posta pale Holiday in..Tutapitia maktaba Square.......then Mnazi mmoja...then Fire...then Magomeni...then Ubungo...alafu kimara...endapo tu Yanga itashinda
kuna watu ndani hadi ban waliomba mkuu..
Mungu saidia Yanga ifungwe na itoke kwa Aibu"wasilete maneno yao ya kufa kiume
muwemnasoma uzi kabla ya kupost eboo..matokeo vpppppp
Hongereni watu wa Moro aisee
Mkuu nitakuwepo isiwe chenga tuuuu. Tupe raha Yanga
Ahahahahahahahahahaha.Kesho hiyo hiyo mkimaliza zoezi lenu anahamia kwangu,maana analipa kiaina lol.Karibu kwenye show kesho endapo mtashinda...au nisema mtavuka hatua hii...Mimi na mai waifu wangu Angel tutatembea uchi toka posta hadi kimara
View attachment 143808
haki ya muungu tena....kesho Yanga wakishinda we njoo jionee shoo tu...ntakua na mai waifu wangu
Ahsante....Sema huyu mbunge ni mkia damu....sasa tunahofu anaeza ghairi. . ..akirusha live....basi JF itakuwa live pia kutokea kasoro bahari