CAF Champions League

CAF Champions League

Kati pako shake sana!hii Chuji anastahili kuanza na Msuva angesubiri.Waarabu si wakushambulia kama unacheza na Manyema
 
Mshindwe kupata ushindi mnono hapa nyumbani eti mkashinde Misri...Wallah...ntatembea uchi kutoka posta hadi kimara
umeahidi kitu ambacho hutaweza tekeleza,hebu sema utakojoa sokoni kariakoo labda itakuwa na unafuu kwako!
 
Mkuu Masuke hapo Kavumbagu ndiye mshambuliaji wa mwisho,Kiiza,Okwi na Msuva ni wapishi watakoukua wanampikia kavumbagu huku nao wakijaribu kufunga na kupiga mashuti,Ila kwa maoni yangu kama kipindi cha kwanza Yanga itaenda sare basi kipindi cha pili kutakua na aja ya kumpumzisha kiiza na kumuingiza Luhende ili kuendelea kuwapa wakati mgumu waarabu.Na hapo kwenye na8 Ngasa atafiti vema maana ni mwepesi wa kuponyoka na kupiga pasi "sumu"Kiukweli leo tukiwatoa waarabu nina uhakika tu

Mkuu mi nawaonea huruma sana kwa sababu mnaota...tena ndoto za mchana saa sita......kama mngekua na nia ya kuwashinda Ahly mngetakiwa kushinda mech ya nyumbani ila kule sahauni tu....Ni Simba tu wenye jeuri hiyo...Yanga ni wa hapa hapa
 
Leo na shangilia AHLY narudi kwa babangu!! na mwacha mama akale kwao!! Waarabu fungaliambaliiiiii hao wajomba...warudi kwao mmoja-mmoja !!!
 
“We are capable of overturning the 1-0 deficit, but we have to be cautious because Young Africans boast some pacey and skilful forwards,” Gomaa said on Ahly’s official website.
 
Mkuu mi nawaonea huruma sana kwa sababu mnaota...tena ndoto za mchana saa sita......kama mngekua na nia ya kuwashinda Ahly mngetakiwa kushinda mech ya nyumbani ila kule sahauni tu....Ni Simba tu wenye jeuri hiyo...Yanga ni wa hapa hapa
Duh!yani umetoka kwenye fuko la uzazi leo hihi,na leo hihi umeota meno,umetambaa,na sasa umepata na ujanja wa kuingia JF lol?anyway,mechi ya awali wakati ukiwa kwenye fuko la uzazi Yanga alishinda nyumbani 1-0.Kwahiyo leo tunatafuta sare.
 
Mkuu....hayo maneno yoooteee mengi hayana mantiki yoyote,....ni mipasho tu...mlikua na nafasi ya kupata ushindi mnono hapa nyumbani...mlikosa nafasi nyingi za wazi msivyo makini......sasa leo ndo mtawatambua waarabu......msije na visingizio tu...ila mimba ya bao tano lazima mpigweeeeee
 
umeahidi kitu ambacho hutaweza tekeleza,hebu sema utakojoa sokoni kariakoo labda itakuwa na unafuu kwako!

Kukojoa ni kitu kidogo sana mkuu....hua nakojoaga hata kwenye ule ukuta wa ikulu...ila nitakachokifanya Yanga ikishinda ni kutembea uchi....tena uchi kabisaaaaa na ITV ntawaita...kutoka Posta hadi kimara kwa msisitizoooo
 
Mkuu mi nawaonea huruma sana kwa sababu mnaota...tena ndoto za mchana saa sita......kama mngekua na nia ya kuwashinda Ahly mngetakiwa kushinda mech ya nyumbani ila kule sahauni tu....Ni Simba tu wenye jeuri hiyo...Yanga ni wa hapa hapa

Sasa na wewe badala ya kuongea mpira unaongea historia...toa usimba wako hapa..tuache na yanga yetu na ndoto zetu..ebu na wewe kaote jinsi ya kumfunga prison na kuchukua VPL
 
Mkuu....hayo maneno yoooteee mengi hayana mantiki yoyote,....ni mipasho tu...mlikua na nafasi ya kupata ushindi mnono hapa nyumbani...mlikosa nafasi nyingi za wazi msivyo makini......sasa leo ndo mtawatambua waarabu......msije na visingizio tu...ila mimba ya bao tano lazima mpigweeeeee
Usitoke hapa JF mpaka saa 4 usiku!
 
Sasa na wewe badala ya kuongea mpira unaongea historia...toa usimba wako hapa..tuache na yanga yetu na ndoto zetu..ebu na wewe kaote jinsi ya kumfunga prison na kuchukua VPL

Mkuu tutakuwepo hapa hadi saa nne usiku.....Sisi VPL msimu mbaya kwetu...tushajua tumechemsha.....lakini mkuu acheni kujipa matumaini ya uongo..Yanga ni wa hapa hapa tu...nendeni alexandria tunawasubiri mrudi muukabidhi ubingwa kwa Azam FC
 
Usitoke hapa JF mpaka saa 4 usiku!

Nitakuwepo mkuu hadi saa sita kabisa...ila mkuu,,,,endapo mtashinda...natangaza rasmi mimi na mke wangu tutatembea uchi wa mnyama kutoka posta hadi kimara kesho kuanzia saa tatu asubuhi
 
Kama kawa kama dawa,leo lazima waarabu wakae,na hiki hapa ndicho kikosi kitakachoanza kuwaua waarabu leo,Niyonzima ni mgonjwa nadhani ata kwenye bench hatakuwepo.
Line up:Yanga.
1.Deo Munishi
2.Twite Mbuyu
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Saimon Msuva
8.Mrisho Ngasa
9.Didier Kavumbagu
10.Emmanuel Okwi
11.Hamisi Kiiza

Tetesi:Yanga wakiitoa Ahly watapewa 400m kama zawadi.
hizi 400 ndio chanzo cha kuuza mechi ref. Simba na zamalek na kia za wachezaji🙍🙍
 
Back
Top Bottom