Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Pole sana Cacico,RIP Babu.
shkamoo kaka.
Etiii, kama ntu ana wake wengi wote unawaita shemeji? Na wewe ukiwa kwa mfano una wake wengi, wote ntawaita wifi?
Afu naomba nauli niende msibani, na rambirambi na sare ya dera, leggings, mawani, wigi na simple shoes.
Rafiki yangu cacico pole sana kea yote. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Tutazidi kumwombea mama apate nafuu haraka.jamani nawashukuruni woteeeeeee kwa umoja wenu! nimefarijika sana maana jf ni familia yangu pia! nimerudi jana toka upareni, babu tumempumzisha vema, MUNGU wetu ashukuriwe! gfsonwin, Mtambuzi na Jiwe Linaloishi ahsanteni sana kwa kutufariji wakati wa msiba, kuwa nami mpaka mwisho, mbarikiwe sana! wengine wote kimwili hamkufika lakini sala zenu zilikuwa pamoja nami NASEMA TENA AHSANTENI! NAWAPENDENI WOTEEEE! SALA ZENU TU KWAAJILI YA MAMANGU! ni kupimwa imani, lakini MUNGU YUPO UPANDE WAKE, VITA YA DUNIANI ATAISHINDA! ahsanteni tena!
thanx FP njoo basi mitaa ya sinza na wakwe zangu, lol! upo mjini au ushasepa?
Marhabaaa...
Kijamii na kisheria mbona ipow azi King'asti, sema tu apo kuna unalolitafuta.....akishakuwa mke, manake yupo na mashemeji, sasa haijalishi ni wangapi
Apo kwen 'vifaa' vya msiba, iyo 'leggings' ndo nini....vyengine vyote umepata, wewe tena?
POLE WEEH m'bora. Kangi welie n'ngokoro nicho uwaja. Ubande fia fia, Mrungu ena nguju.nahavache sana, kiwaja muno mira MRUNGU ni wedi!! nahunduka mira nimi niwajwa iki, hangi ni uchovu du! nahavache tena!
kwi kwi kwi! nenywie dengelua! yetoni yeokie kadhi, mira babu wangu aniwaja kweri kweri!! iki we ni wa hio?? uthwi tufumia kilomeni, ukweia lembeni!POLE WEEH m'bora. Kangi welie n'ngokoro nicho uwaja. Ubande fia fia, Mrungu ena nguju.
Mkedhie mkwea.
POLE WEEH m'bora. Kangi welie n'ngokoro nicho uwaja. Ubande fia fia, Mrungu ena nguju.
Mkedhie mkwea.
kwi kwi kwi! nenywie dengelua! yetoni yeokie kadhi, mira babu wangu aniwaja kweri kweri!! iki we ni wa hio?? uthwi tufumia kilomeni, ukweia lembeni!
Kave nawe uma n' je kiathu?
kwi kwi kwi! nenywie dengelua! yetoni yeokie kadhi, mira babu wangu aniwaja kweri kweri!! iki we ni wa hio?? uthwi tufumia kilomeni, ukweia lembeni!
Kave wahunduka....! Haiki nikikubighia thimu wethipatikana, chaokadhe....? Urewedi mira rumburia........LOLkwi kwi kwi! nenywie dengelua! yetoni yeokie kadhi, mira babu wangu aniwaja kweri kweri!! iki we ni wa hio?? uthwi tufumia kilomeni, ukweia lembeni!