Cacico so sorry dear,God loved him most.

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,720
Last edited by a moderator:
pole sana wafiwa! Najua mlimpenda babu lakini Mungu kampenda zaidi. RIP babu!
 
Pole sana kwa msiba, nipo nje kidogo ningekuwa bongo ningefanya juu chini niwemfariji wako kipindi hiki kigumu. Mungu alito Mungu ametwaa jina lake lihadimiwe
 
Pole sana mamito... Mwenyezi Mungu akutie nguvu!!!

kumbuka kumuweka mama yake cacico kwenye sala manake anaumwa sana halafu sasa kafiwa na baba yake mzazi. hebu fikiria tu haya maisha ya kifo kweli hakina huruma hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa msiba, nipo nje kidogo ningekuwa bongo ningefanya juu chini niwemfariji wako kipindi hiki kigumu. Mungu alito Mungu ametwaa jina lake lihadimiwe

sala zako ni muhimu sana kwa cacico kwa wakati huu kuliko wakati mwingie wowote. muombee sana mama yake mzazi anayeumwa kwa muda sasa na leo hii mauti ya baba yake mzazi imemkutia nyumban kwake.
 
Last edited by a moderator:
cacico i don't want to imagine how difficult it is for the loss of your beloved grandpa.
so far knowing the condition of our lovely mom and now she is facing this its hard to believe.
But what should we say our dearest??

You loved him but God loved him most.
May his soul rest in eternal peace.
​

cc Asprin, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Bishanga, Paloma, zion daughter, Madame B, Vin Diesel, AshaDii,, Liverpool fc Kaizer, Ruttashobolwa, Mkirua, Superman, KakaKiiza, amu, BAK
BC wana jamvi wote

@cacico, be strengthen and be strong. God is good!! He is good all the time, for all. Be of good courage.
 
Oooh pole sana cacico mungu akupe faraja katika kipindi hiki!

R.i.p babu
 
Last edited by a moderator:
deepest condolances kwa familia ya marehemu na MUngi awatie nguvu. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, mapenzi yake yatimizwe
 
sala zako ni muhimu sana kwa cacico kwa wakati huu kuliko wakati mwingie wowote. muombee sana mama yake mzazi anayeumwa kwa muda sasa na leo hii mauti ya baba yake mzazi imemkutia nyumban kwake.
Ana hali ngumu sana huyu mwenzetu hali hii ilinikuta mimi tarehe 31/12/1994 pale ambapo wazazi wangu walipata ajali mbaya sana ya gari ihumwa dodoma walipokuwa wanatoka kula krismas rombo ambapo mama yangu mzazi alifarik hapohapo na baba yangu kupata majeraha mabaya sana yaliyomfanya akae ICU for 2 weeks, tulienda kumzika mama yetu wakati baba yetu hafahamu kama mke wake mama yetu kafariki. ilikuwa changamoto kubwa sana katika maisha yangu na mimi ndio nilikuwa nimemaliza drs la 7 tu. Baadae baba yangu alipata nafuu na kutaarifiwa msiba wa mama yetu na alipopta nafuu alikwenda kuhani kaburi.

Na amini mwanajamvi mwenzetu yupo kwenye wakati mgumu, namshauri apige moyo kondo na amini kwamba Mungu yupo na ndiye mapangaji wa yote.
Nikiwa kama Padri Kivuli, namuombea kama ifuatavyo (padri kivuli maana yule ambaye alisoma seminari lakini hakufanikiwa kupata daraja la upadri, aliishia njiani).

Ee mwenyezi Mungu nakuomba umwangalie mwenzetu kwa jicho la huruma,wakati huu ambapo anahuzunika kwa kumpoteza Baba yake ,nakuomba uumjalie mama yake ambaye pia ni mgonjwa aweze kupata nafuu na kupona haraka, [Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiye mfanya miujiza, Ndiye Mungu peke yako. Ee BWANA uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu (Zab 26)] Amina
 
Kuondokewa kwetu na wapendwa wetu kuwe changamoto ya kuishi kwa upendo.

Bwana alitoa na sasa ametwaa,poleni na Mungu awe nanyi nyote.Mgonjwa nae Yesu amtie nguvu na apone haraka!
 
cacico, Mungu akutie nguvu na akupe faraja mpendwa katika wakti huu mgumu. Siku zetu wanadamu hapa ulimwenguni si nyingi.
Bwana alitoa na sasa ametwaa....jinale lihimidiwe, amen!!!
 
Last edited by a moderator:
Ana hali ngumu sana huyu mwenzetu hali hii ilinikuta mimi tarehe 31/12/1994 pale ambapo wazazi wangu walipata ajali mbaya sana ya gari ihumwa dodoma walipokuwa wanatoka kula krismas rombo ambapo mama yangu mzazi alifarik hapohapo na baba yangu kupata majeraha mabaya sana yaliyomfanya akae ICU for 2 weeks, tulienda kumzika mama yetu wakati baba yetu hafahamu kama mke wake mama yetu kafariki. ilikuwa changamoto kubwa sana katika maisha yangu na mimi ndio nilikuwa nimemaliza drs la 7 tu. Baadae baba yangu alipata nafuu na kutaarifiwa msiba wa mama yetu na alipopta nafuu alikwenda kuhani kaburi.

Na amini mwanajamvi mwenzetu yupo kwenye wakati mgumu, namshauri apige moyo kondo na amini kwamba Mungu yupo na ndiye mapangaji wa yote.
Nikiwa kama Padri Kivuli, namuombea kama ifuatavyo (padri kivuli maana yule ambaye alisoma seminari lakini hakufanikiwa kupata daraja la upadri, aliishia njiani).

Ee mwenyezi Mungu nakuomba umwangalie mwenzetu kwa jicho la huruma,wakati huu ambapo anahuzunika kwa kumpoteza Baba yake ,nakuomba uumjalie mama yake ambaye pia ni mgonjwa aweze kupata nafuu na kupona haraka, [Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiye mfanya miujiza, Ndiye Mungu peke yako. Ee BWANA uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu (Zab 26)] Amina
hapo ni babu na sio baba.
nilimaanisha kwamba mama yake mzazi cacico anaumwa sana kwa muda mrefu sana amekuwa hajiwez kitandani leo hii baba yake mzazi huyu mama anafia nyumbani kwa mwanae huyu mgonjwa yaani kwa mama cacico. unaona mtihan ulivyokuwa mgumu hapa?? anakufa mzima anayetegemewa amuuuze mgonjwa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana cacico .... Tupo pamoja ktk majonzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom