Cacico so sorry dear,God loved him most.

Cacico so sorry dear,God loved him most.

Pole sana cacico, Mungu amlaze babu mahali pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
so sorry cacico ,may Almighty GOD GRANT you with strength and courage to overcome this , even this will pass mummy.
RIP Grandpa.
 
Mzima wewe ?? mbona kwenye avantar mbona unacheka sana wakati unatoa pole.... weka sikitiko kuduchu

Best hii avatar mara nyingine huwa inaniponza sana maana unakuta moyoni nalia lakini usoni tabasamu la X-Mas! Ngoja niwaombe wahusika watuwezeshe kubadili avatar kwa haraka kadiri tunavyo post comments.
 
pole sana mke mwenzangu!MUngu AKUTIE NGUVU NA SALA NA MAOMBEZI YETU KWA MAMA K!
mama maria anazidi kumpigania!usiiache rozali cacico we unaelewa
shostilo hebu kuja pande zile tutete!
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana jamani, Mungu awajaze nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Aise pole sana cacico with sympathy imagesCAGCATFP.jpgwe share the pain with you we know how it hurts to loose someone you love and care imagesCAYSCI5E.jpg.
 
Last edited by a moderator:
Best hii avatar mara nyingine huwa inaniponza sana maana unakuta moyoni nalia lakini usoni tabasamu la X-Mas! Ngoja niwaombe wahusika watuwezeshe kubadili avatar kwa haraka kadiri tunavyo post comments.

aah wala usipate shida ukitaka kubadili niPM "Handle with care" kwa tata mwita iko hii ??
 
Tumetoka kwa udongo, tutarudi kwa udongo - Remy Ongala.

Mwenyeezi Mungu amuweke popote apendapo.
 
Back
Top Bottom