Wel wel wel......... Yote kheri.na ndio maana nimekujibu hivyo manake nilijua unawaza hivyo. hope umeelewa kwann boko ila sijajua boko gani pengine basi haya.
cacico i don't want to imagine how difficult it is for the loss of your beloved grandpa.
so far knowing the condition of our lovely mom and now she is facing this its hard to believe.
But what should we say our dearest??
You loved him but God loved him most.May his soul rest in eternal peace.
cc Asprin, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Bishanga, Paloma, zion daughter, Madame B, Vin Diesel, AshaDii,, Liverpool fc Kaizer, Ruttashobolwa, Mkirua, Superman, KakaKiiza, amu, BAK
BC wana jamvi wote
hapo ni babu na sio baba.
nilimaanisha kwamba mama yake mzazi cacico
anaumwa sana kwa muda mrefu sana amekuwa hajiwez kitandani leo hii baba
yake mzazi huyu mama anafia nyumbani kwa mwanae huyu mgonjwa yaani kwa
mama cacico. unaona mtihan ulivyokuwa mgumu
hapa?? anakufa mzima anayetegemewa amuuuze mgonjwa
usiniambie kuwa araway kahama moro almost four years sijamuona hata simu hakuna looo nimemmisije!
Hapana cha kusahau, kilichonishangaza ni uhusika wa eneo la Boko kwenye huu msiba. Ni hicho tu mama.