Cacico i wish your mom quick recovery

Cacico i wish your mom quick recovery

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,517
To My Beloved cacico, nimepata taarifa kutoka kwa rafiki yangu kwamba mama yako mpendwa anaumwa:

With thoughts and Prayers, Love the Bright and Positive Colours of this beautiful capture........of Almighty God Wishing your Mom a Speedy Recovery.

303525.jpg
 
khaaaaaa! jamani u guys am humbled! jf is realy my last born! thanx alot, MUNGU MWEMA ATAMPONYA NA KUMLINDA WOTE TUNA IMANI NA TUNAMUOMBEA! anafuata nyayo za waasisi wa nchi hii, anasafiri leo kuelekea kwenye matibabu zaidi nje ya nchi! MUNGU AKIPENDA ATAMPONYA, AMEN! platozoom am honoured! mwahhhh!
 
Last edited by a moderator:

Na iwe kama tulivyoomba..AMEN.
 
Jamani mbona hamnipi pole ya kumuuguza mamkwe wangu. cacico my wife material naamini unajua nachowish na kumuomba Mungu. Kama nlivokwambia, Mungu yu mwema na anajua atakachokitenda. Namwomba amponye mama yetu mapema.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom