Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 927
eee Mwenyezi Mungu ni wakati mwafaka wa kuweza kusema na maisha yetu,tizama magonjwa,vifo na majanga mbalimbali yanavyotuandama sisi wana wako,tunaomba useme na maisha yetu kuanzia humu chichat had majumbani mwetu,tunaamini kuwa ukisema nasi,wagonjwa watapata kupona ktk jina lako,tembea hadi kwa mama yetu(mama cacico )ukapate kumponya na kumpa nguvu tena......
Amina
Amina
Last edited by a moderator: