Cacico i wish your mom quick recovery

Kuugua sio kufa!

Pole mpendwa cacico kwa kuuguliwa na mama......Mungu ni mwema ataenda kumponya soon!......Tunamuombea afike salama.....apatiwe matibabu na arudi salama huku akiwa na afya tele kama zamani!
Asprin pole kwa kumuuguza mama mkwe!
 
Last edited by a moderator:
Kuugua sio kufa!

Pole mpendwa cacico kwa kuuguliwa na mama......Mungu ni mwema ataenda kumponya soon!......Tunamuombea afike salama.....apatiwe matibabu na arudi salama huku akiwa na afya tele kama zamani!
Asprin pole kwa kumuuguza mama mkwe!
sweetlady mzima wewe?? thanx alot, yakibinadamu tumemaliza, sasa ni sala zetu na kumuonyesha upendo mkuu, yaliyobaki TUMUACHIE MUNGU, ATATENDA! mwahhh and thanx for caring!
 
Last edited by a moderator:
mwahhhhhh! lol! hatimaye umenikumbuka khaaaa! thanx ny shemeji, nimefarijika lol!
cacico my sweet shem..nisamehe bure tu, michakato hii sikupata nafasi ya kupitia hapa mapema zaidi ila naamini mmefanikiwa....pole kwa kuuguza jamani mwaaaaah
 
Last edited by a moderator:
AMEN my shem wa ukweeeeee HYGEIA , hope wanangu wanaendelea vema na mum wao!

Yes cacico sisi tu wazima, pia wanao. Tunawasikia kila siku wakicheza sana mechi zao. Shostica wako kachooka, hata maji ya kunywa lazima umnyweshe!
 
Last edited by a moderator:
Tuko pamoja kwenye maombi,Mungu wetu yu karibu sana na wale wamwitao,naye anajibu ,in Jesus name Mama wl be ok.
 
Back
Top Bottom