Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Kaka acha tu,nna hasira kufanya uwaziri majaribio..Nkamia ataban magazeti mengi,Mwigulu umeshataja atakayofanya but uteuzi wake ni COMEDY tosha,Malima anapozwa ktk nafasi iliyomletea baba yake shida,Mbona mizigo imebaki? Lazaro Nyalandu yeye anakwenda kumalizia kuhujumu utalii..long live KAGASHEKI.

Hii nchi inaendeshwa kihuni sana..

Wizara nyeti kama hiyo huwezi ukamweka mtu kama Mwigulu. Sina ubaya na Jakaya lakini hapo ameweka siasa mbele zaidi ya weledi

I agree. Mwigulu Nchemba's choice for Naibu W.F. is a bad joke'

Mimi nashukuru amewekwa, na atakuwa anapewa nafasi kubwa ya kujibu maswali ya wabunge, tutarajie matusi.

yeyote anayetetea huu uteuzi lazima ana maslahi binafsi, uteuzi wa ajabu kabisa!

Kuna thread niliandika hapa jf nikizungumzia tetesi za Mwigulu kupewa uwaziri. Niliadika kuwa kutokana na tuhuma kibao zinazomwandama Mwigulu ikiwa ni pamoja na mabomu ya Arusha, umwagiaji watu tindikali, ubambikiaji watu makosa ya kigaidi nk..nk... Nikasema ikiwa JK hakika atamteuwa mtu huyu katika baraza la mawaziri basi itakuwa ni kweli isiyo na shaka kwamba Mwigulu ametuhumiwa kwa matendo aliyotumwa na mwenyekiti wake. Bahati mbaya thread hiyo ilizimwa juu kwa-juu.

Nimalizie kwa kusema CCM na muungano wa Tanzania unaenda kupasukia mikononi mwa J.Kikwete. Huyu rais amekuwa na mzaha mno hata panapohitaji umakini, kama katika kipindi hiki. Uteuzi wake huu wa kuwaingiza Mwigulu Nchemba, Juma Mkamia na kuiacha mizigo mingine ambayo hata Katibu Mkuu wa CCM ameibainisha kuwa inakipotezea umaarufu CCM. Rais amekidharau chama chake na kawadharau watanzania.

Kama rais analeta mzaha kwenye uteuzi wa baraza lake la mawaziri wa inayoitwa Serikali ya Muungano, Je! Ana nia njema kwa muungano wenyewe?

Aidha, uteuziu huu wa Baraza hili la mawaziri umewakatisha tamaa wana CCM na watanzania; pamoja na Abdalahman Kinana na Nape ambao walizunguka Tanzania yote wakiungana na watanzania kwamba baadhi ya mawaziri ni mizigo. Kwa JK hiyo sio mizigo. Mh.Kinana na Nape mpo hapoooo?

 
mpaka sasa siamini huyu mwigulu ndio atakayeshika pesa ya watanzania ikewemo yangu hivi raisi wangu umekosa mtu kabisa
 
Mie nasema ni bora kapewa cheo hicho kuliko angepewa uwaziri wa mambo ya ndani japo kwa hira zake kuna uwezekano wa kuingilia mikopo inayotolewa na mabenk kwa wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa vyama vya siasa hasa mh mbowe hili liko wazi jamaa ana roho mbaya kama mkaanga sumu.

Watanzania tuko m45 ila kila baraza la mawaziri linapobadilishwa mawaziri wanaojirudia ni wengi kuliko wapya na hii tabia ya mtu mmoja kupewa vyeo mara kwa mara sababu ya ushawahiba nayo inakera sana,mwigulu alikuwa mfanyakazi wa bank kuu,akawa mweke hazina wa ccm then naibu katibu mkuu wa ccm na sasa ni naibu waziri wa fedha,ama kweli kisicho na thamani kwa wengi,kwa wachache kinathamani pamoja na yote ishukuru chadema kwani bila wao.usingekuwa hapo ulipo
 
Maskin Jk ameshidwa kabisa hata kuusikiliza ushauri aloshauriwa na Mrisho mpoto ktk wimbo wake unaoitwa "Waite" tena kabla hata hajafanya uteuzi. Ok labda kwakua ccm hakuna tena anayefaa.
 
Ukitaka kupima upeo wa kufikiri wa kiongozi anayeongoza nchi na uamuzi anao ufanya katika masuala ya nyeti ya nchi,angali upeo wa washauri wake alafu angalia wanachomshauri na yeye anaamua vipi.Wakimshauri ujinga naye akaufanyia kazi basi ujue kuna tatizo hapo.
 
Watu mlio wengi humu mnaongea utumbo mtupu hivi mwigulu mnaweza kumfananisha na mavilaza wenu kama wakina Sugu , Lema, Mbowe nk Mwigulu ni jeshi la mtu mmoja na nikiongozi supavu na mwelevu acheni kuongea utumbo humu ndani wakati elimu zenu hata form 4 hamjafika

..unachekesha.

..tafuta CV za mawaziri na manaibu waziri wa fedha ktk nchi za Rwanda, Kenya,Uganda, South Africa, ndiyo utaelewa kwanini baadhi yetu tumekatishwa tamaa na wateule wa JK ktk wizara yetu ya Fedha.
 
Jk kaona hata aibu ya kutangaza,na aliyemtuma kutangaza nae kaanza zugazuga na issue nyingine ili akija taja upuuzi watu wawe wamerelax kidogo.
 
dhihaka kubwa kwa Nape na Kinana, Je ni dhihaka kwa muhimili wa 4?? je wanataaluma wa habari wanaweza kumkataa Nkamia kuanzia kesho??? mpaka kieleweke???
 
katika nafasi ya mwigulu nasema hapana wananchi bado wana hasira na jinsi wanavyobebeshwa mizigo ya kodi ikiwemo mashine za kielektronic n.k anapewa nafasi nyeti mtu asiye makini na muovu katika medani za siasa hapa tanzania hata kama uteuzi wake umelenga 2015 kimkakati hapa natofautiana
 
Kamundu,

..wako wa-Tz wengi tu ambao ni competent wangeweza kuteuliwa kutumikia wizara ya fedha.

..nadhani JK mwenyewe haamini kama wizara ya fedha ni muhimu kiasi hicho kulazimisha kuteua watu wenye solid track record kutumikia pale.

NB:

..halafu kitendo cha waandishi wa habari kucheka na kuguna kuhusu baadhi ya teuzi za Raisi, kinaleta taswira isiyo nzuri kwa mteuliwa, washauri wa Raisi, pamoja na Raisi mwenyewe.

cc Mchambuzi, Mdondoaji, NasDaz

Nahisi uteuzi wa waziri wa fedha ni muendelezo wa kufurahisha upande mmoja wa muungano, vinginevyo sioni ni vigezo gani vimetumika kuteuwa waziri wa fedha?
 
Kwa mawazo yangu uteuzi wa naibu waziri wa Fedha Nchemba hauna msingi. Kwa mawazo yangu sijawahi kusikia huyu waziri akiongea sera yeyote ya maana ya Fedha, wanasema mchumi lakini hajawahi kuongea strategy yeyote hapa ya maana, hajui vizuri uchumi wa dunia unavyoenda na ni mwanasiasa zaidi kuliko kiongozi na hata weza kufanya maamuzi bila kuangalia manufaa ya CCM pekee na jinsi ya kudidimiza wapinzani. Kiongozi ambaye anaweka upelelezi wa kutafuta mahawara wa viongozi wa upinzani si kiongozi wa kutegema kuleta maendeleo. Mimi ningeshauri kwenye sehemu za Fedha, Nishati na Madini tutafute wataalamu wenye uzoefu kwenye hizo sehemu na wamefanya kazi na kujua dunia inavyoenda. Vilevile kwa safu ninayoiona hapa ni bora tungetafuta diaspora mwenye uzoefu kwenye mambo ya fedha na amawahi kuwa kiongozi na kutuongoza.

Uhitaji diaspora wa kazi gani ? yupo Prof Samweli Wangwe hapa ambaye kama huyu Mkuu JK angekuwa serious anatosha kwa vigezo vyote kuwa Waziri wa Fedha
 
We umeshika wadhifa gan mpaka ukosoe uteuz wa Mh Rais?achen wivu w kikuku nyie
 
Tujiandae kuona ufisadi na rushwa kila kona ya nchi
 
Wizara nyeti kama hiyo huwezi ukamweka mtu kama Mwigulu. Sina ubaya na Jakaya lakini hapo ameweka siasa mbele zaidi ya weledi

Hiv wajua kama mwigulu n Mchumi? Kama hujui habar ndo hyo acha wivu wa kibata mkuu
 
Jamani nimechoshwa na utanzania wetu na upumbavu wetu wa kukubali huyu Mtu dhaifu mshenzi kama Rais wetu kutumia fedha zetu kutuletea mabalaa nchini, hatutaki kumwaga damu lakini tuko tayari ikibidi na iwe, tusijidanganye kwamba 2015 ni karibu, yaweza ikawa mbali kama milele, Nchemba alishakutwa na kashfa za kusingizia watu ugaidi huku Nkami akiwa the weakest mbunge on the planet, ni ubora twenda mtaani sasa kuliko baadae, baadae watatuua wengi ubora sasa tutakufa wachache, jamani watanzania tutoke mtaata tukatae JK kutututumia kama ndondocha ya ushamba wake, sasa hivi tusisubiri chadema watuongeze tutokeni mtaani jamani tunaomba watanzania wenye uchungu mtuelekeze saa ngapi siku isiwe wala kesho kutwa, tupinge huu ushenzi kwa nguvu zote, TUSIKUBALI MTU MMOJA ALIYESHIBA KULIPELEKA TAIFA LETU CHOONI, HUKO AENDE MWENYEWE TUMPINGENI KWA NGUVU ZOTE TUTOKENI MTAANI MIMI SIOGOPI HATA KAMA HAWA MODES ------------ NA WATATUTAJA ACHA NIFE KWA AJILI HII LAKINI SIKO TAYARI KUONA TUNALIANDAA TAIFA LETU KWENDA KUZIMA MAPEMA HIVI, ACTUALLY TUDAI RAIS AJIUZULU MAANA HATUHITAJI KIGEZO ZAIDI CHA UBOVU WAKE KAZINI, PAMOJA NA KWAMBA HATUKUMCHAGUA LAKINI HAIHALALISHI KUTULETEA UPUMBAVU HUU
 
Kamundu,

..wako wa-Tz wengi tu ambao ni competent wangeweza kuteuliwa kutumikia wizara ya fedha.

..nadhani JK mwenyewe haamini kama wizara ya fedha ni muhimu kiasi hicho kulazimisha kuteua watu wenye solid track record kutumikia pale.

NB:

..halafu kitendo cha waandishi wa habari kucheka na kuguna kuhusu baadhi ya teuzi za Raisi, kinaleta taswira isiyo nzuri kwa mteuliwa, washauri wa Raisi, pamoja na Raisi mwenyewe.

cc Mchambuzi, Mdondoaji, NasDaz

jk ni dhaifu by mustafa sabodo
 
..unachekesha.

..tafuta CV za mawaziri na manaibu waziri wa fedha ktk nchi za Rwanda, Kenya,Uganda, South Africa, ndiyo utaelewa kwanini baadhi yetu tumekatishwa tamaa na wateule wa JK ktk wizara yetu ya Fedha.

huyu anadhani anaongea na lumumba wenzake wengi darasa la nne na saba,misukule mingi
 
Mimi nashukuru amewekwa, na atakuwa anapewa nafasi kubwa ya kujibu maswali ya wabunge, tutarajie matusi.

Yule mama(waziri) nae na majibu! Hapo bajeti ya 2014/2015 wabunge wajiandae kupewa majibu makavu
 
Back
Top Bottom