c mchezo!

ok, pitia ofcn kwe2 uwe unakuja kusoma, yakwe2 yana vacancies mpka pande za kwa obama bay!
 
Uliambiwa usomee ualimu ukajidai tozi,haya sasa,komaa na hyo political science yako.
 
Aliyekwambia uwe unanunua magazeti ni nani!? Chukua maujanja kwa wazoefu kama sisi, ngoja nilueleze inakuaje.....

"Tafuta kijiwe cha magazeti kairbu cha kwenu, kajenge kaurafiki na muuza magazeti, then unaendazako na mia mbili unapata nafasi ya kupitia magazeti yote..........mapema kabla magazeti hayajanunuliwa yote, kama kuna position una note down au sometimes mara mojamoja sana ndio unanunua.......hela inayobaki kanunue stamp"
 
Account empty sina hata hela ya vitabu, bado niko kwa baba na baba yuko kwa babu...dah msoto ni noma
 
mwenzenu nimeishiwa hadi pesa ya kununua gazeti du! ajira ngumu du! mliopata msitusahau jamani wenzenu



kaka hao waliopata wameshatusahau maana wanajiona wao wameshafika hawakumbuki kuwa katika maisha kuna kupanda na kushuka.

kinancho takiwa tusife moyo tuendelee tu kuhangaika kwa kusambaza barua zetu ipo siku mungu atasikia kilio chetu.

Hata kama Mtu ulikuwa unamsaidia kwa hali na mali , uliyekuwa unamsaidia akipata kazi tu anakusahau kabisaa.

''Nilichogundua kuwa urafiki shuleni (vyuoni) tu mukimaliza urafiki unakuwa wa mashaka .i.e unaisha''


I WILL KEEP ON FIGHTING( THROUGH APPLYING) AM NOT GIVING UP
 
ukiwa na mawazo hayo kuwa lzm uajiriwe utasota milele,kijana soma alama za nyakati,tatizo vijana wa tz hatujafunzwa kuwa na plan B kama A inakua tafu,ajira za siku hizi kigezo sio "what do u know" lkn ni "who do know",tutaumia sana kama hatuna ndugu wenye nafasi maeneo flani,naamini kijana msomi ana options nyingi kuliko yule ambae hana elimu,unaweza tumia elimu yako kuwa hata consultant,ofisi chumbani mwako.
 
mwenzenu nimeishiwa hadi pesa ya kununua gazeti du! ajira ngumu du! mliopata msitusahau jamani wenzenu

Usitegemee rafiki yako wa zamani akakubeba,labda kwa muda mfupi tu,mafanikio yanatufanya tubadili marafiki tuwe nao wa level zetu,ni kwaida sana,wala usiwalaumu,kwa hiyo kama hao rafiki zako wa shule mlikua level moja na wao wako njema sasa,usitegemee wakataka ukaribu na wewe kamma wewe hauko njema kama wao,we tulia piga michongo yako,watakutafuta tu.
 
kaka hao waliopata wameshatusahau maana wanajiona wao wameshafika hawakumbuki kuwa katika maisha kuna kupanda na kushuka.

kinancho takiwa tusife moyo tuendelee tu kuhangaika kwa kusambaza barua zetu ipo siku mungu atasikia kilio chetu.

Hata kama Mtu ulikuwa unamsaidia kwa hali na mali , uliyekuwa unamsaidia akipata kazi tu anakusahau kabisaa.

''Nilichogundua kuwa urafiki shuleni (vyuoni) tu mukimaliza urafiki unakuwa wa mashaka .i.e unaisha''


I WILL KEEP ON FIGHTING( THROUGH APPLYING) AM NOT GIVING UP

Mtatungoja milele na mtakufa bila kelele kama walivyokufa wafuasi wakibwetele! ckiza dogo ukipata kazi fanya yafuatayo, jenga fasta, wekeza-biashara au hisa, saidia ndgu kwa sana! then sasa wakikutema job we ndo unapata muda wakufuatilia rosa na fuso bus zako za hapa town trip!
 
Kutafuta ajira ni degree nyingine wadau, lazima ujiandae tena degree bila ya boom, na kama una girlfriend ukichelewa kupata kazi tu anakumwaga as hawawezi kuvumilia hawa wenzetu kucheleweshwa harusi, sasa na bila ajira utamuoa vipi zaidi ya kuachia wenye uwezo wamuweke ndani fasta wakati bado anasaka ajira polepole
 
hii mbinu niliitumia mimi na ikanisaidia kupata kazi Mkoa wa Mwanza, Nilimwambia ukweli jamaa flani muuza magazeti kijiwe chake kilikuwa karibu na home mitaa ya sinza mwanzoni nilikuwa namtoa pesa kidogo baadae akawa rafiki yangu yaani jamaa alikuwa frend kiasi kwamba hadi akajua kazi nilizokuwa natafuta, na hadi baadae nikawa sitoe fedha na siku nyingine niliposhindwa kwenda alikuwa ananiandikia kazi zilizotangazwa na anuani za kupeleka barua. Yaani si uongo huyo jamaa alinisaidia kupata kazi ninayofanya sasa kwani niliiona kupitia kwake. Hadi leo jamaa anauza magazeti palepale na kila nikija dar namtafuta tunabadilishana mawazo na mara nyingi namtoa fedha. yaaani he is still my friend. Tumieni njia hii, wauza magazeti wengi ni waelewa sana especialy wanaokaa vijiweni sio wanaotembeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom