Bye Bye Wigi................

Bye Bye Wigi................

Jamani tusitukane viongozi wetu namna hii hata kama wanamadhaifu bado wanahitaji heshima.

Big Brother is watching na wote huku tunafahamika tusijidanganye na majina bandia, ni vizuri tukijadili hoja badala ya watu kama alivyosema mchangiaji mmoja.
 
Mheshimiwa naomba usirudie wigi. wengine wakivaa wanakuwa kama mwanasesere
 
:car: naelekea njombe kuona kale kaujenzi kamkopo..
 
tatizo bado kwenye rangi za kucha, asipopaka nyekundu anapaka nyeusi.
 
hizo nywele ni zake kweli au ameamua kulisuka hilo wigi.
 
Back
Top Bottom