Bye Bye Wigi................

Bye Bye Wigi................

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
spika1.jpg
Hatimaye supika ameamua kuachana na wigi
 
Sijui nani atakuwa amemsuka..tehe tehe.....
 
Hapo shingoni imekaaje? inatwanga kotekote?
 
duh aingia mjini tayari
 
Mama mzuri ila wigi lilikuwa linampa u-ugly. Akilirudia nitamtumia sms avue
 
Sababu ya YU TONG.

Hataki tena kuhangaika. Ana muda wa kusuka.
 
hiyo ni kuonyesha kuwa aliyokuwa akisema ni ukweli na ameamua kubadilika hata muonekano!
Hongera mama, tunaomba ubadilishe pia utaratibu wa kazi kwa kuuona ukweli wa hoja na kuukubali badala ya kuukataa kama ulivyokuwa ukifanya kabla
 
Nilimuona wakati ana bwata kuhusu posho..jamani..mawigi yana siri..sikuwahi jua kama huyu shosti ana komwe na kichwa kibaya kama mtungi wa gesi..
 
Back
Top Bottom