Bye Bye Wigi................

Bye Bye Wigi................

tujadili mambo yenye tija na nchi hii sio private issues za mtu kama hivi.hata akinyoa kipara ni yeye,sisi tujadili utendaji kazi wake na sio amesuka au mamevaa wigi,mkitaka kujadili hayo nendeni kuleeeeeeeeeeee facebook
 
Itakuwa vizuri kama atabadirisha na msimamo wa kifisadi.
 
Cjawahi cheka kama leo, kwanya 2 ulivoanza na nlichokikuta nimecheka sana.Thnx mkuu ni kweli 1/3 kapendeza.
 
Wow kaonekana so different n younger, hii ni bora zaidi,
 
Ha ha haaaa!!Duh!Wabongo wapo makini kufuatilia mambo ya watu duh!!
 
mama kapendeza jamani hongera sana usivae tena lile liwigi lako!
 
Uongozi ni kazi ngumu, nashangaa watu wanapenda kugombea madaraka. Huyu Ms. Mjengo haya madongo ni mazito mno, kuanzia kichwa cha kuonekana (wigi) mpaka kichwa cha maamuzi (ubongo)!
 
Hope utakuwa muonekano mpya na uendeshaji mpya wa bunge.
 
Back
Top Bottom