Poleni wanaume

kadogo2

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
404
770
Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa

Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu

Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh

Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma

Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo

Bye
 
Kila mtu alie kivyake wakati unaongea hivyo ungeambatanisha na interview ya Lupita nyong'o ...wanawake wana halingumu zaidi nakuhakikishia..

Ndio maana munakufa nyie… mimi mwenzio nimeachwa nishatangaza kwa watu baada ya mwezi nimesahau wewe sasa itakugharimu Miaka kusahau mwisho wa siku unaishia kujiuaa
 
Back
Top Bottom