Bye bye tigo

bcsolution

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
383
250
Nimekuwa nikijiunga kifurushi cha 15000 kila mwezi . Sasa tigo wamekiondoa kwenye menu yangu sasa kuna cha 50.000 na cha 100.000 . Nimewapigia kuwauliza mbona sioni kifurushi cha 15000 ,nikaambiwa kimeondolewa kwangu kwa kuwa nimeonekana najiunga nacho sana .. kwa iyo nimeonekana tajiri sana ...Airtel nakuja kwenu nipokeeni..bye bye tigo
 
idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,020
2,000

hee! wana mambo. haya na mie najiunga sana cha wiki, wakikiondoa......
 
bcsolution

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
383
250
Wanalazimisha nijiunge cha 50 au laki...kwanza sina matumizi hayo..na pili sina pesa za mchezo za kuwapa wao...kama hawaitaki hiyo 15.000 then wamekosa yote..watapoteza sana watejabkwa staili ya kuwaangalia watu usoni.
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Yaani wakupangie kifurushi cha kununua kwa pesa yako!!!
Wanajua una sacrifice vingapi ili ku save hiyo 15,000?
Unaweza ukajikuta unamtukana huyo mtoa huduma bila kukusudia!!!
 
bcsolution

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
383
250
Yaani wakupangie kifurushi cha kununua kwa pesa yako!!!
Wanajua una sacrifice vingapi ili ku save hiyo 15,000?
Unaweza ukajikuta unamtukana huyo mtoa huduma bila kukusudia!!!

Yani kama ulikuwepo nilimfokea huyo jamaa wa tigo ..hasira zote nikammalizia yeye...yeye akanijibu kimeondolewa kwako kwa kuwa unajiunga nacho sana...
 
bcsolution

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
383
250
Kwanza kampuni za simu wengi wao wezi tu...nani anayefatilia kifurushi chake akijiunga kama katumia dakika na data au sms zake zote kihalali ? Unastukizia kifurushi kimeisha ..hujui umetumia au umeibiwa...wezi tu...tunatumia simu coz hatuna jinsi...full kuibiwa tu.
 
bcsolution

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
383
250
Karibu airtel, ila kaa ukijua wote wezi hawa. Hakuna pa nafuu

Nalijua hilo...ila la kunizuia kununua kifurushi ninachotaka au kunitofautisha na wengine ndio sipendi...wote tunahangaika na maisha..ningekuwa tajiri ningekuwa nalipa kwa mwezi na sinunui vifurushi.
 
kirikuu10

JF-Expert Member
May 4, 2014
249
0
Nimekuwa nikijiunga kifurushi cha 15000 kila mwezi . Sasa tigo wamekiondoa kwenye menu yangu sasa kuna cha 50.000 na cha 100.000 . Nimewapigia kuwauliza mbona sioni kifurushi cha 15000 ,nikaambiwa kimeondolewa kwangu kwa kuwa nimeonekana najiunga nacho sana .. kwa iyo nimeonekana tajiri sana ...Airtel nakuja kwenu nipokeeni..bye bye tigo

Airtel hutajutia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom